Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,353
- 40,698
- Thread starter
- #161
Swali zuri sana.Kama taarifa za body count siyo issue, kwanini unazificha?
Swali zuri sana.Kama taarifa za body count siyo issue, kwanini unazificha?
Nakazia. Lkn bikra feki pia zipo, hivyo zihakikiwe kwanza kabla ya kurasmishwa.Usalama wako ni kuoa bikira tu.
Unazitambuaje?Nakazia. Lkn bikra feki pia zipo, hivyo zihakikiwe kwanza kabla ya kurasmishwa.
Omba Mungu akupe Mke mwema ufurahie maisha ya ndoaHakunaga mwanamke sahihi..Cha msingi ni kuwa na uweza wakuendesha mambo..mastering a game
Jamaa ana Nyuzi za moto Kali kaliNyuzi zako zmenifanya nihame twitter