Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Kaa mbali na mijadala ya alpha males. Unazidiwa mpaka na wanawake uko juu ambao angalao wanajitahidi kujenga hoja.

Wewe wanaume unaoweza kuelewana nao ni wale wakina anko t na james delicious
Una matatizo kijana.

Tafuta pesa uache kelele za mitandaoni.
 
💯

Wajitahidi kwa hilo. Na pengine waseme kabisa kuwa hatuoi bikra iwe rai ya uumeni iende viral pengine mabinti wataogopa kuwa wazembe na kuwaendekeza wanaume.

Wakati huo wimbo wa accountability upigwe pande mbili, Wanaume wakiacha kuchezea mabinti wadogo ikifika umri fulani hawa unaowahamisha kuoa bikra watakutana na bikra. Hii issue ni circle, Bikra nyingi kwa sasa zinatolewa katika umri ambao sio wa consent.

Hii sio vita ya kisheria ni vita ya kihisia, ndio maana pande zote zinapaswa kuplay part yake vizuri.

Mambo mengine uliyohamisha ya kiumeni wala sijacomment.
Gatekeeper wa sex na fertility ni mwanamke vinginevyo awe amebakwa
 
JamiiForums-401286612.jpg
 
Wote walewale tu, zaidi zaidi utajipakulia minyama ya kua wa kwanza kumbandua.
Kwa sababu ajali ni jambo ambalo huwa linatokea safarini, hiyo sio sababu ya kuacha gari jipya na kusafiria gari chakavu
 
Kwa sababu ajali ni jambo ambalo huwa linatokea safarini, hiyo sio sababu ya kuacha gari jipya na kusafiria gari chakavu
Gari sio binadamu, gari halina utashi, gari linaenda na kufanya vile mmiliki unataka liwe.

Tafuta mfano mwingine, nilikua na mahusiano na bikra, hamna nilichoenjoy, nilipoteza muda na fedha tu.
 
Gari sio binadamu, gari halina utashi, gari linaenda na kufanya vile mmiliki unataka liwe.

Tafuta mfano mwingine, nilikua na mahusiano na bikra, hamna nilichoenjoy, nilipoteza muda na fedha tu.
Mfano umejitosheleza ni wewe ndie haupo tayari kukubaliana na ukweli.
 
Mfano umejitosheleza ni wewe ndie haupo tayari kukubaliana na ukweli.
Hilo suala la kuforce tuoe bikra ungetafuta namna nyingine ya kutushauri maana hata huko vijijini kwenyewe unatafuta kwa tochi tukija kwenye uhalisia hauko hivyo kabisa
 
Ukiskia “a real man” sjui “gentleman” basiiiiiii umekwisha
 
Kweli kipindi hiki chakuweza kweli kupata bikra labda jamaa anaishi kizazi cha zamani
Labda kwa kijijini huko ambako wanafata sana mila.

Ila binafsi kwa tafiti zangu bikra sio kitu muhimu sana kwenye mahusiano labda utake ile prestige kwamba ulimbikiri lakini end of the day anaweza kukuchit na kua na tabia za hovyo vilevile.

Na pia kila mwanaume ana vigezo vyake japo nidhamu, heshima, utii na kusikilizwa kama Me ni kipaumbele. Itafaa nini kua na bikra mwenye kiburi, majivuno au mbinafsi??
 
Kwani hata hawa ambao jamaa anawasema si walianza na bikra kwa kweli wakati huu tunaangalia tabia ya mtu ndio ina matter zaidi kuliko bikra yake
 
Kwani hata hawa ambao jamaa anawasema si walianza na bikra kwa kweli wakati huu tunaangalia tabia ya mtu ndio ina matter zaidi kuliko bikra yake
Tatizo kubwa mnawalinda wapenzi/wake zenu indirectly. Mimi mtu akisema kwamba "mke wangu nimekutana akiwa sio bikira lakini kwenye vigezo vya heshima na maadili mwanamke ambaye ni bikira ndie mwenye qualification ya juu zaidi", hapo nitakuelewa. Lakini kusema kwamba mwanamke bikira na ambaye ashatumika ukiwaweka kwenye mzani wa heshima na maadili wanalingana hapo hatuwezi kukubaliana
 
Back
Top Bottom