Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Kama hajatulia ingekuwa ishatolewa na wahuni mapema tu
Kwani hapo juu wameandika sababu za kutolewa tu ndo hutulii kwenye ndoa Au mahusiano? Kuna sababu kibao tu, ila kama hii ndo main gate ya kuwa kwenye mahusiano basi sawa…
 
1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.

2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.

3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.

4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.

5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.

6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.

7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.

8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.

9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.

10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.

11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.

Don’t be a simp
Siku ukiipata Tena muda zungumzia hii ya kuwekwa friendzone na mwanamke inamaana gani naona wanaume wengi hii upitia
 
Hawapo mkuu😊

Hebu jaribu kumpata kwanza ukae naye utaturudishia mrejesho baada ya kuiondoa😎
Bikra ni kiashiria kuwa binti anaijua thamani yake na kuitunza.

Ukiacha tabia ambazo tumezibeba kwenye vinasaba vyetu, tabia zingine tunazipata kutokana na mazingira na experiences tunazopitia, tunakutana na watu sio sahihi wanatubadilisha tabia zetu.

So ukimpata bikra, mwanaume ana nafasi kubwa sana ya kumshape binti kimahusiano.
 
Mi nachoshindwa kuwaelewa wanaume, sasa kama mtu umempenda ukijua body counts zake inakusaidia nn? Au izo style alizokunjwa zinabadilisha nini? Kitu kinachikutanisha wawili ni sex tu and not otherwise, utailemba kwa ndoa sijui mapenzi, mara pesa, sijui hutaki iliyochapwa sana! At the end main goal ni nini kama sio sex? Tutaongea yote lkn issue ni mnofu tu hakuna jipya! Eti wanaficha taarifa sahihi! For what? Ili zikusaidie nini? Unaandika historia mahala..?
Past yake muhimu kuijua na huwa akikupenda sometime anaropoka mwenyewe hii inasaidia kujua aina ya mtu ulioingia nae kwenye mahusiano mfano halisi ni hii wa kwangu niliowahi kuingia mahusiano na mwanamke ambaye ameachika kwenye ndoa wakati napiga nae story akaniambia wakati yupo kwenye ndoa alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine na sababu ilikuwa mumewe uwezo wake mdogo kwenye kutoa huduma nilivyosikia tu hivi nikajua hapa Sina mtu kwahiyo na Mimi nikipunguza tu huduma inamaana hatakuwa na mpenzi na Mimi
 
Hahahaaaa ukiwa na hisia za mtazamo wa mke/mwenza uliyenaye hakika huwezi elewa logic ya mleta uzi.ila sit down slowly,observe, analyse and assess careful nakuhakikishia utaanza kupata mashaka na uelewa wako.

Ila kwasasa to most not all marriage or relation for a woman it's an investment, business plann or project blue print that she will die for
 
Mwanamume anayepaswa kutoa muongozo wa mahusiano kwa watoto wetu wa kiume anapaswa kuwa: mwenye mke, anayempenda mke wake, anayefurahia ndoa yake. (We should have his wife's testimony for this)

Nyie mnaoteseka mngebaki wapenzi watazamaji.kwenye ndoa hakuna furaha, Kuna karaha tu. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kulea mwanamke

Vitendo gani sasa, fighting women?

Stay single and wait for the Lord. Acha kuteseka na K.
Wanapoongea wanaume jifunze kukaa kimya na usikilize Kwa umakini. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kufuga mwanamke.
 
Past yake muhimu kuijua na huwa akikupenda sometime anaropoka mwenyewe hii inasaidia kujua aina ya mtu ulioingia nae kwenye mahusiano mfano halisi ni hii wa kwangu niliowahi kuingia mahusiano na mwanamke ambaye ameachika kwenye ndoa wakati napiga nae story akaniambia wakati yupo kwenye ndoa alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine na sababu ilikuwa mumewe uwezo wake mdogo kwenye kutoa huduma nilivyosikia tu hivi nikajua hapa Sina mtu kwahiyo na Mimi nikipunguza tu huduma inamaana hatakuwa na mpenzi na Mimi
Duhh! Naye alikuwa kiroporopo tu😆
 
Bikra ni kiashiria kuwa binti anaijua thamani yake na kuitunza.

Ukiacha tabia ambazo tumezibeba kwenye vinasaba vyetu, tabia zingine tunazipata kutokana na mazingira na experiences tunazopitia, tunakutana na watu sio sahihi wanatubadilisha tabia zetu.

So ukimpata bikra, mwanaume ana nafasi kubwa sana ya kumshape binti kimahusiano.
Nimekuelewa kwamba we haijalishi mtu yukoje yeye awe bikra tu… ni kama muajiri aseme kwamba yani haijalishi mtu kafauluje yeye awe na cheti tu, means cheti ndio kitampa uhakika mwajiri kwamba huyu mtu amesoma! Basi sawa

Naongea bcoz nmekuwa na marafiki wanafika mpk 25 wana bikra zao.. ila nakuhakikishia kama hiki ndio kigezo kikubwa kwako utakwama bro..
 
Mi nachoshindwa kuwaelewa wanaume, sasa kama mtu umempenda ukijua body counts zake inakusaidia nn? Au izo style alizokunjwa zinabadilisha nini? Kitu kinachikutanisha wawili ni sex tu and not otherwise, utailemba kwa ndoa sijui mapenzi, mara pesa, sijui hutaki iliyochapwa sana! At the end main goal ni nini kama sio sex? Tutaongea yote lkn issue ni mnofu tu hakuna jipya! Eti wanaficha taarifa sahihi! For what? Ili zikusaidie nini? Unaandika historia mahala..?
Sex na kumpenda mtu sio nguzo pekee za ndoa. Maisha ya ndoa yanaenda mbali zaidi ya upendo na sex. Past ya mwanamke inachangia kwa kiasi kikubwa tabia na mtazamo wake toward her partner.

Mwanamke ambae ashatumika nafsini mwake anajiona hana cha kupoteza na ana mtazamo kwamba men are replaceable. Kwaiyo mkwamo wowote katika mahusiano nae maamuzi yake yatakua ni ku-switch kwenye mahusiano mengine kwa sababu ile hali ya kutembea na wanaume wengi ishamtengenezea mentality kwamba always there is a next man waiting on the line.

Katika suala la kuchagua mwenza wa maisha ni muhimu sana kwa mwanaume kuzingatia purity/virgin. Mwanamke ambae amebeba trauma, disappointments na emotional baggage kutoka kwenye mahusiano yake ya nyuma, afya yake ya akili haiwezi kuwa sawa na innocence woman ambae ndio anakuja kupata uzoefu wa kila kitu kwa mara ya kwanza kutoka kwako
 
Ndugu mwenyekiti point namba 3 inakinzana na point namba 11 iliyobeba hitimisho.

And if thats is a case; ni vyema kuwashauri wasioe kabisa, Kwasababu ili waoe bikra itabidi wakatafute under 17, Enzi zetu bikra zilikuwa zinatolewa tukiwa na umri wa miaka 20-23.

Statistically kwa sasa binadamu wa miaka kuanzia 18 tunajua wanavyofanana.

Weka malengo mahususi ya hili bandiko tafadhali.
 
Ni kweli watu watu hubadilika wakati mwingine, lakini kama wewe hupendi wanaume mlevi halafu ukakubali kuwa nae ukiamini utaweza mbadilisha then good luck with you.
Huu ujinga wanaufanyaga wanawake wengi sana. Huwa wana-prefer bad boys or irresponsible men hili waangaike kumbadilisha awe nice guy baada ya kumchagua nice guy from the first place. Wakishindwa kumbadilisha huyu bad boy ndio wanaanza kulalamika unabaki kujiuliza kabla hajaolewa nae alikua hajui kama huyu mwanaume ni mkorofi, mlevi au womenizer?

Wanaume pia huwa wanakosea kuoa lakini hauwezi kuwalaumu sana kwa sababu kabla ya ndoa wanawake huwa wanajifanya malaika halafu anaenda kufichua makucha yake ndoani. Lakini upande wa wanawake hawawezi kukwepa lawama kwa sababu wanaume huwa hatu-fake maisha. Kipindi kilekile cha mahusiano ya boyfriend and girlfriend character ya mwanaume inajulikana tu
 
Hoja yako ni njema sana. Kwa kuwa tayari tunajua hayo ndio maana tukaambiwa kwenye bublia tuishi nao kwa akili. Kila kitu kilishasenwa.

Kwa suala la bikra hapo tutaongopeana tu maana huzo haziandikwi usoni. Na ukitaka bikira na wewe uwe bikira
Bikira kwa mwanaume na mwanamke kijamii, kisaikolojia na kiroho zina maana tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom