Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Mwanamke aliyekupiga tukio asimame atupungie mkono kwanza.

BTW Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu :2Head:

Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.

May the Lord deliver y'all from this mental prison.

I suggest: Stay Single. Let all women be your sisters. You will see things differently. Hizi posts za kujirudiarudia kuota bikra na ku assassinate character za wanawake zitakoma I'm telling you.

Focus on these interesting times we're in, our Lord Jesus is coming back :AweeWoo::AweeWoo::AweeWoo:
Nashangaa kuna wanaume wamelike hii comment- I officially pronounce them as STUPID
 
I REPEAT,

Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu :2Head:

Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.

Endeleeni kutesekea K.

May the Lord deliver y'all from this mental prison.
Kwa mwanaume kupendwa ni ujinga tu! Mwanaume you should focus on being great! Kupendwa kuna kusaidia nini? It's okay kupendwa lakini sio swala la lazima kusema eti uwe unalilia! As man you gotta be great, be a man no one can Ignore! KUPENDWA NI KWA AJILI YA WANAWAKE NA WATOTO!
 
kaa mbali na mal*ya, matapeli wa mapenzi. wanawake wengi wa kisasa ni wafanyabiashara ya ngono, hawana huruma kabisa makatili sana.
»LOV£ FOR $AL£.
 
1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.

2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.

3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.

4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.

5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.

6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.

7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.

8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.

9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.

10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.

11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.

Don’t be a simp
Huku mkoan hatupo hivyo! Mbona kuna true love jmn.. kwaio wanawake masikini tusipate wenza? Usituchanie mkeka bana! Mbona hujaongelea ma-bf masikini? Au haiwahusu?
 
11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.
Hii imeniogopesha kuliko zote.
 
Mi nachoshindwa kuwaelewa wanaume, sasa kama mtu umempenda ukijua body counts zake inakusaidia nn? Au izo style alizokunjwa zinabadilisha nini? Kitu kinachikutanisha wawili ni sex tu and not otherwise, utailemba kwa ndoa sijui mapenzi, mara pesa, sijui hutaki iliyochapwa sana! At the end main goal ni nini kama sio sex? Tutaongea yote lkn issue ni mnofu tu hakuna jipya! Eti wanaficha taarifa sahihi! For what? Ili zikusaidie nini? Unaandika historia mahala..?
 
Her past inakusaidia kupredict your future with her itakuaje.

Kama vitabu vya historia vimemwelezea kuwa ni mgawaji mzuri basi inaashiria hata huko mbele ya safari atakigawa sana tu.

Na trust me kuwa na mwanamke mgawaji ni every man's nightmare.
 
Uko sahihi lakini mimi ninakataa, people change but not all.. watu wanaokotwa bar wanaolewa na bado wanajifunza kuishi kwenye ndoa na wakatulia, watu wanachukuliwa kanisani na misikitini na bado wanakuja kuwa chachu kwenye ndoa! Tukijadili upande wa mwanamke tu kuonekana mbaya kwenye mahusiano, kumbuka kuna upande wa mwanaume pia, kuna mazuri ya wote pia! Ila kwakuwa tumejadili upande mbaya, basi hakuna haja ya yote hayo na the main goal is 🐱, tofauti na hapo sio kila mahusiano yataishia kwenye ndoa!
 
Ni kweli watu watu hubadilika wakati mwingine, lakini kama wewe hupendi wanaume mlevi halafu ukakubali kuwa nae ukiamini utaweza mbadilisha then good luck with you.

Mleta mada hajamuongelea mwanamke kuwa ni mtu mbaya, ameonesha uhalisia wa mentality ya wanawake wengi tulionao mtaani kwasasa.
 
Wanawake wengi lakini sio wote! Basi na wanaume wengi walevi lakini sio wote!

Why jump to drunkards wkt wanaume wapo wengi wasiokunywa! Kiukweli hakuna formula hapa ata tujadili mpaka mwakani!

Being single is hard and being married is hard! So CHOOSE YOUR HARD!
 
Hoja yako ni njema sana. Kwa kuwa tayari tunajua hayo ndio maana tukaambiwa kwenye bublia tuishi nao kwa akili. Kila kitu kilishasenwa.

Kwa suala la bikra hapo tutaongopeana tu maana huzo haziandikwi usoni. Na ukitaka bikira na wewe uwe bikira
 
Back
Top Bottom