Sasa kama hupendi mwanaume mlevi utakubali kuwa na mlevi ilhali wapo wengi wasiokunywa?Why jump to drunkards wkt wanaume wapo wengi wasiokunywa!
Sasa kama hupendi mwanaume mlevi utakubali kuwa na mlevi ilhali wapo wengi wasiokunywa?Why jump to drunkards wkt wanaume wapo wengi wasiokunywa!
Now u got my point!Sasa kama hupendi mwanaume mlevi utakubali kuwa na mlevi ilhali wapo wengi wasiokunywa?
Exactly, ndio maana mleta maada anatukumbusha wanaume tuwe wise kwenye machaguo yetu.Being single is hard and being married is hard! So CHOOSE YOUR HARD!
Nikajua anapinga kabisa suala la nyie kuwa na wanawake 😳Exactly, ndio maana mleta maada anatukumbusha wanaume tuwe wise kwenye machaguo yetu.
Hiki ndicho exactly kinachosisitizwa hapa, hekima katika machaguo.Now u got my point!
Basi wapo wasiolewa wengi nita-base kwa hawa na kuto-deal na walevi, same applies to you wapo wlaiotulia tu kwanini usiwafuate hao na kuacha hao shindikanaa, ukiwaanika walevi ndio wataacha ulevi? Na utawaanika mpaka lini despite huwezi kubadili lolote?
Kwa kuandika mapungufu ya walevi?Hiki ndicho exactly kinachosisitizwa hapa, hekima katika machaguo.
Kuwaanika walevi kunaweza kusiwabadilishe walevi ila kunaweza saidia wengine wakafanya wise decisions.
Imekuuma sana kuambiwa ukweli mchunguMwanamke aliyekupiga tukio asimame atupungie mkono kwanza.
BTW Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu
Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.
May the Lord deliver y'all from this mental prison.
I suggest: Stay Single. Let all women be your sisters. You will see things differently. Hizi posts za kujirudiarudia kuota bikra na ku assassinate character za wanawake zitakoma I'm telling you.
Focus on these interesting times we're in, our Lord Jesus is coming back![]()
Hampendi ukweli usemwe kila mtu autambue, juzi kuna mwanamke alikua anayasema wazi pale Mbezi stend tena akiwa na kipaaza sauti km wanavyofanya wale walokole uchwara ambao wanaona kwamba wamezaliwa kwenye ukoo wa Yesu ikiwa kwamba hata wale waliozaliwa kwenye ukoo halisi wa Yesu hawafanyi km wanavyofanya wao, yule Mama aliyaongea haya yote jamaa aliyoyaeleza hapa akiwaeleza wanaume tena aliongelea na mengine ya ndani zaidi na zaidi ambayo wanawake hawapendi wanaume wayajue, jana kuna manzi alikua anaongea na jamaa alieoa mwanamke wake anamfanyia ushenzi wa karne kamfuma mara kibao na wanaume wakudawakuda akaongea nae mimi nikiwa pembeni namsikiliza anamuhoji hivi huyo mkeo hata nguo anakufulia anajibiwa sio tu kufungua hafui hata watoto hawajali mimi ndio ninaewajali watoto wangu as if yeye hajawazaaNashangaa kuna wanaume wamelike hii comment- I officially pronounce them as STUPID
Mimi ni Mkristo but I have to say that you are the worst gospel messenger. Unawezaje kumtaja Yesu Kristo kwenye comment ambayo umejaza ad hominem attacks and unsubstantiated claims and assumptions about the author of the main post/thread? Kwamba yeyote anayedhani kwamba kuna kutapeliwa kimapenzi na mwanamke amepigwa tukio au hajawahi kupendwa na mwanamke asiye mama au ndugu yake? Kama kweli unaamini haya unahitaji msaada.Mwanamke aliyekupiga tukio asimame atupungie mkono kwanza.
BTW Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu
Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.
May the Lord deliver y'all from this mental prison.
I suggest: Stay Single. Let all women be your sisters. You will see things differently. Hizi posts za kujirudiarudia kuota bikra na ku assassinate character za wanawake zitakoma I'm telling you.
Focus on these interesting times we're in, our Lord Jesus is coming back![]()
Yaa, ili mtu ujiweke kwenye mizani kama utaweza yavumilia au la!Kwa kuandika mapungufu ya walevi?
Inasaidia ila ungesoma tena alichoandika huyuYaa, ili mtu ujiweke kwenye mizani kama utaweza yavumilia au la!
Unadhani haisaidii?
Points zake zingine zinaeleza sifa za huyo 'woman' ambae sio good candidate to sign that contract with.
Seran11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.
Nimekuelewa mkuuPoints zake zingine zinaeleza sifa za huyo 'woman' ambae sio good candidate to sign that contract with.
Point ya 11 kaeleza usalama uko wapi.
Ila hapo kwa mabikra sijajua kwakweli, labda wametulia😊
Kwamba kuna bikra hajatulia? 🤗Ila hapo kwa mabikra sijajua kwakweli, labda wametulia😊
Hawapo mkuu😊Kwamba kuna bikra hajatulia? 🤗
Kama hajatulia ingekuwa ishatolewa na wahuni mapema tuHawapo mkuu😊
Hebu jaribu kumpata kwanza ukae naye utaturudishia mrejesho baada ya kuiondoa😎