Shida ni kwamba kabla ya ndoa wanawake huwa wana-fake character zao, ndio maana wanaume huwa wanalalamika wake zao ubadilika baada ya kuolewa. Hii ni tofauti na wanaume huwa hatu-fake character, yaani kama ni mlevi, muhuni, play boy n.k basi hizo tabia zote atazionyesha pale pale kwenye mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Tatizo lenu wanawake kwenye kufanya uchaguzi huwa mna-prefer bad boys over nice guys. Nice guys huwa mnawakumbuka dakika za mwisho when you're done with the streets. Ndio maana mara zote nice guys wanakuaga retirement planNow u got my point!
Basi wapo wasiolewa wengi nita-base kwa hawa na kuto-deal na walevi, same applies to you wapo wlaiotulia tu kwanini usiwafuate hao na kuacha hao shindikanaa, ukiwaanika walevi ndio wataacha ulevi? Na utawaanika mpaka lini despite huwezi kubadili lolote?
Katika hicho kipengere ulichoki-quote mimi sijapinga mahusiano ya mwanaume na mwanamke wenye dhamira ya dhati ya kujenga familia, isipokua nime-expose ule mkataba wa kisheria unaoitwa "ndoa". Muundo wake haumlindi mwanaume. Wise man anaweza kuchukua maamuzi ya kujilinda mfano kusaini prenup au kuandikisha mali zake majina ya mama ake
I suggest you focus on the good ones and personally demonstrate your excellent gospel propulsion skills.Mimi ni Mkristo but I have to say that you are the worst gospel messenger.

Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.Vitendo gani sasa, fighting women?
Stay single and wait for the Lord. Acha kuteseka na K.
Being great ndo nini? Kupendwa na strangers?Kwa mwanaume kupendwa ni ujinga tu! Mwanaume you should focus on being great! Kupendwa kuna kusaidia nini? It's okay kupendwa lakini sio swala la lazima kusema eti uwe unalilia! As man you gotta be great, be a man no one can Ignore! KUPENDWA NI KWA AJILI YA WANAWAKE NA WATOTO!
Actually women empowerment ni mbinu za kuishi bila mwanamume.Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.
Sio tu hakutaki maana kama hakutaki anaweza tu kukata connection na mwanaume project ikaishia hapo Friendzone ni mkakati ambao unaenda mbali zaidi ya mwanaume kukataliwa.Haina maana nyingine zaidi ya kuwa hakutaki.
Labda kama hiyo friend zone ni ya mwezi mmoja tu. Mwezi unatosha kufahamu tabia ya mtu if that is an excuse.
Hakuna mkinzano wowote kati hizo point mbili ukizozitaja. Bikira bado wapo. Ugumu wa kuwapata unatokana na circle yako unayofanya mawindo.Ndugu mwenyekiti point namba 3 inakinzana na point namba 11 iliyobeba hitimisho.
And if thats is a case; ni vyema kuwashauri wasioe kabisa, Kwasababu ili waoe bikra itabidi wakatafute under 17, Enzi zetu bikra zilikuwa zinatolewa tukiwa na umri wa miaka 20-23.
Statistically kwa sasa binadamu wa miaka kuanzia 18 tunajua wanavyofanana.
Weka malengo mahususi ya hili bandiko tafadhali.
Me naona watoto tu wanalialia.Wanapoongea wanaume jifunze kukaa kimya na usikilize Kwa umakini. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kufuga mwanamke.
Huyo jamaa ni wale wanaume ambao wamealibiwa akili na huu ulimwengu wa kifeminism tunaouishi kwa sasa. Feminism haujaalibu akili za wanawake tu, imealibu akili za baadhi ya wanaume pia kwa kuwafanya kufikiri kwamba kushusha thamani zao mbele ya mwanamke ndio ugentleman.Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.
Friendzone nayozungumza ni pale ukiwa umeachana na manzi yako alafu anataka uwe kwenye friendzone nayeHaina maana nyingine zaidi ya kuwa hakutaki.
Labda kama hiyo friend zone ni ya mwezi mmoja tu. Mwezi unatosha kufahamu tabia ya mtu if that is an excuse.
Kwenye upande hapo wa bikra kwa kweli nichangamoto sana kupata labda useme yule ambaye hajatumika sana tunaweza kukuelewaSex na kumpenda mtu sio nguzo pekee za ndoa. Maisha ya ndoa yanaenda mbali zaidi ya upendo na sex. Past ya mwanamke inachangia kwa kiasi kikubwa tabia na mtazamo wake toward her partner.
Mwanamke ambae ashatumika nafsini mwake anajiona hana cha kupoteza na ana mtazamo kwamba men are replaceable. Kwaiyo mkwamo wowote katika mahusiano nae maamuzi yake yatakua ni ku-switch kwenye mahusiano mengine kwa sababu ile hali ya kutembea na wanaume wengi ishamtengenezea mentality kwamba always there is a next man waiting on the line.
Katika suala la kuchagua mwenza wa maisha ni muhimu sana kwa mwanaume kuzingatia purity/virgin. Mwanamke ambae amebeba trauma, disappointments na emotional baggage kutoka kwenye mahusiano yake ya nyuma, afya yake ya akili haiwezi kuwa sawa na innocence woman ambae ndio anakuja kupata uzoefu wa kila kitu kwa mara ya kwanza kutoka kwako
Sawa.I suggest you focus on the good ones and personally demonstrate your excellent gospel propulsion skills.
I personally don't waste my time on "bad preachers".
Hayo mengine sina muda wa kuelezea, you either gerrit or forget abourit.
NAURUDIA UJUMBE WA BURE WANAOTESEKA WATIE AKILINI:
Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu
Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.
(short explanation: its their own doing. They're creating this reality by themselves.)
Kuna our wish na kuna uhalisia. Nakubali kabisa kuwa kila mwanaume angependa kuanza 0 na mwanamke wake, Kama ambavyo wanawake tunatamani tungeanza 0 na mwanaume ambaye hajapigwa matukio/ mnaita mwenye trauma chache za mahusiano… Ofcoz sio mahusiano tu hata trauma za familia anakotokea. Kila mtu anatamani mtu pure, aanze kummodify mwenyewe unfortunately chances are 0.00006Hakuna mkinzano wowote kati hizo point mbili ukizozitaja. Bikira bado wapo. Ugumu wa kuwapata unatokana na circle yako unayofanya mawindo.
Kuna uwezekano mkubwa wa kupata mke bikira kama unafanya mawindo yako kwenye familia ambazo zinajulikana zina maadili kuliko ukiwa unafanya mawindo pale kitambaa cheupe. Mimi mke wangu nilikutana nae kwa mara ya kwanza alikua na miaka 19 na nilimkuta akiwa bikira
Everyone’s sick.Sio tu hakutaki maana kama hakutaki anaweza tu kukata connection na mwanaume project ikaishia hapo Friendzone ni mkakati ambao unaenda mbali zaidi ya mwanaume kukataliwa.
Mwanamke anamuweka mwanaume kwenye friendzone kwa sababu hayupo tayari kuwa katika mahusiano nae lakini bado anataka free attention na admiration kutoka kwa huyo mwanaume.
Hahahahaha akili kubwa sanaaa ,na ukiwa Bongo lala 🤣 😆 😂 😅 😄 😭 🤣 😆 😂 😅2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.