Mimi walinifata nikaenda kuwasikiliza kisha nikawambia nikopesheni kiingilio wakakaa kimya,tatizo waafrika hatutaki kufanya kazi tunapenda mteremko,hao ni matapeli,kuna wengine wanaitwa alliance
Ha ha ha ha ha Nawe ulishakutana Nao? Yaan Mim simu Zilkua haziishi kila nikiwauliza what is the agenda mnatka kukutana Nami hawawi wazi one day ikatokea nkaenda kuosha gar Kumbe Ofsin kwao ni Karibu hapo wakanipgia sim nikawaambia Nipo Sehem fulan wakasisitiza sana uko Karibu please njoo Ofsin tu nkaenda Du I was very bored maana swaga nyingiiiiii na mabidhaa yao et ynatibu kila kitu aisee nilichukia mpka wakagundua they let leave.

Wao capital ni 580,000 cash half waanzilish walkuaga forever. N wizi mtupu
 
Wizi wa hali ya juu
 
Tusubili tuone dunia inapoelekea now kipindi smartphone zinaingia kipindi kile GTIDE nilikuwa staki hata kusikia kuhusu izi simu touch kwamba zina athali nyingi pia sio imara ila now nikiikosa siku moja naumwa

Tusubili tu mpaka kiongozi hatangazi kuhusu cyptocurrenc

kenya wameshatangaza kutumia Bitcoin Atm ,,,,tusubili tu

Jifunze sana ,chunguza, chukua hatua.

usiwe Bongolala
 
nilikuja hapo mkuu nikaona apa ujinga tu, wamekodi nyumba nzima...ile naona ilikuwa nyumba ya wapangaji...wanamaneno mengi san awataki huulize swali we uskilize tu..
Ok iyo Nyumba alikua anakaa Haruna Niyonzima na familia yake kabla hajaamia Simba alivyotoka yy ndio wakapanga Qnet..vip uliona mademu kibao wanaume wachache.sasa iv wamepungua wameanzisha ofis nyingine mikocheni
 
Hahaha,kuna dogo m1,ameacha kaz kabsa alikua bank teller,..kanunua saa ya 5mil..hahah,anazunguka nayo tuu,..namwambiaga hiv wee dogo una akil,huo mtaji wa kumuunga mwenzio tena wawe wawil nao wawe na hyo mil5 tano utampata nan kwa usawa huu?toka aache kaz huu mi mwez wa 3 anazunguka tuu na hyo saa yake,nkamwambia unanunua saa kwa mil5????daah,..
 
mwenzako baada ya miezi 2 atakuwa bilionea
 
Hawa majamaa wameniita wamenipiga msasa wa hatari et Nina Bahat sana, Mara good morning hata jioni....nimewauliza kiingilio sh ngap...wakanificha wanadai kesho nirud ndo watanijuza...alaf hawatak nimwambie mtu.... Kesho hawanioni....
Hahahaaaaaa wewe jamaa wewe! Ungeenda sasa wakakupigie hesabu za BV. Na kubalance ili upate faida. Ulikimbia mapema sana
 
Mimi nisingeogopa hiyo risk na hasa kwakuwa tayari wife alishalipa hiyo fedha. Tatizo ni huo uchizi aliopata na mpaka kuamua kuharibu family. Na tulionywa mapema. Inaniuma sana. Naogopa hata kubeba silaha kwa ulinzi wangu maana naweza itumia ghafla. Nimejenga family yangu kwa taabu for years, sasa nasty things kama hizi zinakuja kuniharibia.
pole mkuu. Good morning.
 
"Good morning " hii salam nilipewa ikiwa ni muda wa Saa sita mchana pale mapambano. Nilijibu kinafiki then wakaja wadada na wamama wakiniambia nimepata Bahati nitakua billionea soon.
Mmoja kaniambia nitaje Gari la ndoto zangu, muda huo tumesimama duara hivi. Nikaanz kuhisi kautapeli hivi

Baadae nikapelekwa chumba kimoja nikasimuliwa ujinga wao muda huo nimepewa pen and paper niandike summary et! Sikuona cha kuandika sio siri. Mwisho nikawapa pen na karatas yao ikiwa safi.

Niliambiwa nirud kesho yake wanieleze jinsi ya kuniuzia hizo bidhaa na bei zake.
Ni mwezi sasa umepita sijioni nikienda kupitezewa muda na kutapeliwa juu.

NB: wale wadada ni wazuri nilifanikiwa kuchukua number ya mmoja wao siku yoyote nitamgegeda
 
Back
Top Bottom