Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

Kwani CRDB wanamtangaza mtu au wanatangaza mnada? Na Komba alitumia jina gani wakati anakopa?
 
lipigwe tu maana hakuna njia nyingine...tumechoka ni mijitu ambayo hukopa fedha benki kwa ujiko inaenda kutanua na viwana...lipigwe tu hadi kitambi kichuruzike---tumechoka!
 
Kigumu chama cha majanga!
Aaf majuzikati nlikua naangalia bunge huyu bwana akichangia muswada wa wizara ya Profesa Mbarawa, akawa anadai minara sijui makitu gani jimboni kwake akawa ananadi kua Wizara ikishindwa kutimiza ahadi yeye kule kibarua cha ubunge kinaota nyasi basi wizara imwangalizie kibarua!. Sasa i can now connect the dots. #kufulia_noma
 
Benki ya crdb inatarajia kupiga mnada mali za John Komba anayedaiwa zaidi ya tsh 1 bilioni ndani ya siku 7.Source magazeti ya leo.Wakubwa wa ccm wanaifaidi hii nchi kwa kila sekta wananyonya tuu

Mbona bungeni alisema hajui mlango wa CRDB unaangalia kibla wala hajawahi kuuona!!
 
Kwani CRDB wanamtangaza mtu au wanatangaza mnada? Na Komba alitumia jina gani wakati anakopa?

Well said.CRDB wanachofanya wanatangaza mnada ili wafidie deni lao na si kwamba wanamtangaza mdaiwa.
 
Mnyama Komba kwa mujibu wa wanazoolojia akina grafani1 na Mzizi mbichi hupenda sifa sana hasa akigundua kuwa wapo watu wanaomwangalia!
Can you connect the dot?
 
Ukimuona anavyoongea na anachoonge huwezi shanga..ana uwezo mdogo sana...probabily hata kwenye management ya hela..nchi tumeiweka kwenye mikono ya watu wa ajabu kweli..

probabily? ndiyo nini?
 
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

Lazima wamtaje "bila kukusudia" kwani wanatangaza mnada wa shule yake CRDB hana kosa anatangaza mnada sio deni lake.
 
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.

Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.

Hizo hela ndo anatumia kula bata na totozi badala ya kuzalisha ili alipe deni. Hahaaaa!
 
Kwa kuwa amekuwa akiwatungia nyimbo nyingi CCM zikiwa pamoja na za kampeni, watamlipia ili awasaidie mwakani kwenye kampeni.
 
Bado hajaingia porini? Mana nilimsikia anataka kwenda kuishi msituni sasa sijui ni pori gani kalichagua.
 
pole komba ndio ivyo bana,waombe jamaa uliokuwa unapiga nao viroba +totoz wakusaidie,lol!
 
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

Naomba utuwekee hapa hiyo sheria iliyokiukwa na CRDB?
 
Back
Top Bottom