Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Unajua wadau wa hili lichama wana mambo yao, kuna jamaa mmoja alikuwa anaangaika sana kipindi cha kampeini na alishahakikishiwa kuwa mkuu angepata tu hiyo nafasi basi angelimzawadia tenda za ujenzi katika wilaya zote husika.
Wengi wa wanamagamba hayo ndio maisha na michongo yao sasa tatizo linatokea kama hivi sasa ambapo deni la taifa ni mara nne ya kinachokusanywa, itaishia kuwa hivi hivi na sio ajabu ukawashuhudia wengine wengi wakiingia mkumbo huu.
Kwani hujaona jinsi wanavyoipinga sheria ya manunuzi ya umma kwa maana yenyewe inasisitiza ushindani kwenye tena pamoja na value for money.
 
Tatizo anapenda sana Starehe..:msela::msela::msela::msela::msela:
 
Komba huyu huyu alikataa katakata bungeni kuhusika na kudaiwa na mfuko mmoja wa jamii? Kumbe ni sawa na mmasai aliyekataa kuwa wakati anaiba hakuwa amevaa shati la rangi aliyosema shahidi bali alikuwa amevaa shati la rangi tofauti na iliyotajwa......
 
We hujiulizi wakina lulu wanapata wapi hela hapa mjini
 
unanunua magari ya fahari ya 200 mln, 200 hela hiyo una wanunulia totoz magari, 100mln unawapangishia mademu nyumba na furnitures mambo ya flat screen etc, hela nyingine matanuzi kwa sana ....ahhh mara unastuka unajikuta una mln 50 ndyo unataka fanya biashara ah hizo ndyo akili za wanaokopaga wabongo
 
Mkopo na totoz wapi na wapi?

10417019_734552193275444_3418203193151399473_n.jpg
 
ni leo kwenye vyombo vya habari tumeskia kwamba mali za mmbunge Kapteni John Komba zitapigwa mnada kwa kudaiwa na benk ya crdb zaidi ya billion moja fedha ambazo ameshindwa kurudisha. Swali langu ni je kwa nini mtu ukope zaidi ya uwezo wako wa kurejesha? Jamani hili liwe fundisho kwetu sisi. Ni kweli saa nyingine tunakuwa na tamaa ya kukopa na kuanzisha biashara ili kufanikiwa haraka. Ila kaa ukijua kuwa biashara hata siku moja haitabiriki
Hawa watamchangia japo kidogo....
 

Attachments

  • Komba.jpg
    Komba.jpg
    9.6 KB · Views: 301
  • Komba na lulu.jpg
    Komba na lulu.jpg
    14.2 KB · Views: 660
hela yote kala na totoz .....tumbo kubwa
 
Back
Top Bottom