Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
Naomba utuwekee hapa hiyo sheria iliyokiukwa na CRDB?
napendaga comments zako saaf
Naomba utuwekee hapa hiyo sheria iliyokiukwa na CRDB?
Pasco hebu tuweke sawa, zile list ndeeefu zinazotoka magazetini zikitangaziwa minada ya mali za wadaiwa wa mabenki, ndio ukosefu wa hii privacy unayoisema hapa? Nafikiri mpaka wafike hatua hii watakuwa wameshawasiliana na wadaiwa wao sugu kwa kipindi cha kutosha tu...
Dina, unapokopeshwa na benki, miongoni mwa vipengele vya mkopaji na mkopeshwaji ni kipengele cha confidentiality, kama ili kwa mwanasheria na mteja wake, mwalimu na mwanafunzi, daktari na mgonjwa, benker na mteja etc!.Pasco hebu tuweke sawa, zile list ndeeefu zinazotoka magazetini zikitangaziwa minada ya mali za wadaiwa wa mabenki, ndio ukosefu wa hii privacy unayoisema hapa? Nafikiri mpaka wafike hatua hii watakuwa wameshawasiliana na wadaiwa wao sugu kwa kipindi cha kutosha tu...
Hili neno!, unaikumbuka kesi ya tycoon wetu pale gazeti la Mtanzania lilipomuandika ni mdaiwa wa NBC?!.Kwani CRDB wanamtangaza mtu au wanatangaza mnada? Na Komba alitumia jina gani wakati anakopa?
Japo siyajui mazingira haswa ya deni husika, Komba ni VIP, Mhe. Mbunge, Mjumbe wa NEC ya CCM ni heavy weight, kitendo cha kutajwa tuu anadaiwa ni aibu!. Miradi yake kudaiwa is fine not him!. Kuandika kuwa anafilisiwa kwa kumtaja jina at personal capacity ni kumchafulia jina!. Akipata mwanasheria nguli, anafungua kesi ya madai kuchafuliwa jina na anashinda!.Pasco.
mkuu hiyo signature?poverty=You spend too much, You do not save enough,You have to much debit,You put all your eggs in one basket, You do not have insurance,You do not invest in yourself,You do not have goals and plans,You are not patient and persistence,You do not give back and You keep doing the same thing.
Excel njoo ufafanue hii paragraph ili niielewe vizuri
Umeelewa nini ulivyosoma mchango wangu..?probabily? ndiyo nini?
Ndo maana anamuunga mkono lowasa; ili amkopeshe ............................. Janja sana
ni leo kwenye vyombo vya habari tumeskia kwamba mali za mmbunge Kapteni John Komba zitapigwa mnada kwa kudaiwa na benk ya crdb zaidi ya billion moja fedha ambazo ameshindwa kurudisha. Swali langu ni je kwa nini mtu ukope zaidi ya uwezo wako wa kurejesha? Jamani hili liwe fundisho kwetu sisi. Ni kweli saa nyingine tunakuwa na tamaa ya kukopa na kuanzisha biashara ili kufanikiwa haraka. Ila kaa ukijua kuwa biashara hata siku moja haitabiriki
Kumbe aliposema ataingia msituni, alitaka kukimbia deni!
Safi sana benki yetu ya kizalendo CRDB!
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.
Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.
======
KUMBE NA WEWE UMEIONA HIYO JANJA YA KOMBA KUMPIGIA DEBE lOWASSA ILI AKIINGIA MAGOGONI AMSAIDIE KULIPA DENI!!! UJINGA WA HAWA WABUNGE WA MAGAMBA NI PALE WANAPOCHANGANYA SIASA NA BIASHARA!!!
Unaandika kwa certitude as if you know the ins and outs of the situation. Una uhakika gani wewe kuwa akipata mwanasheria nguli na akifungua kesi ya madai kuwa atashinda?
Nini kinakufanya uwe na uhakika kuwa atashinda?
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.
Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.
======