Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,268
- 4,585
unanunua magari ya fahari ya 200 mln, 200 hela hiyo una wanunulia totoz magari, 100mln unawapangishia mademu nyumba na furnitures mambo ya flat screen etc, hela nyingine matanuzi kwa sana ....ahhh mara unastuka unajikuta una mln 50 ndyo unataka fanya biashara ah hizo ndyo akili za wanaokopaga wabongo
Msichofahamu kuhusu biashara ya shule za Sekondari, mara baada ya kuanzishwa kwa shule za kata, upatikanaji wa wanafunzi wa kujiunga na shule za binafsi zile ambazo hazifanyi vizuri umekuwa mgumu sana. Mzazi anaona kuliko ampeleke mtoto kwenye shule ambayo matokeo yake ni kama ya shule za kata ni bora mtoto aende shule ya kata. Shule nyingi za sekondari hivi sasa zina matatizo makubwa sana ya ulipaji mshahara kutokana na kukosa wanafunzi.
Swala la Mh. Komba ni biashara tuu imekataa. Mimi kwa ushauri wangu kama alijenga shule za sekondari akazibadilishe ziwe za msingi angalau hizo zinalipa tofauti na shule za sekondari