Front page lead story Rais Mwema...bila shaka atakuwa tayari msituni akijiandaa kuja kupambana na 'wadeni' wake.
Watamtambua kwa kumdai mwanajeshi yule ohoooo.
Akishindwa hivyo bila shaka atawatungia nyimbo...wataimbiwa kwaya na kusahau kudai deni.
Benki ya crdb iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa kapteni john komba ,kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana;
jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja
Machemuli huwa anawalipa CASH?
Wewe endelea kubrazuca. Ongeza picha za brazil mkuuNipo jana na leo!!
Benki ya crdb iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa kapteni john komba ,kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana;
jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja