Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

................na afilisiwe tu.. na bado kuna wengine kibaoo wametulia tu kama hawaoni,..!!!
 
Hivi haya majumba na mamiradi kumbe huwa ya mikopo?
kweli ushamba ni kazi.
 
bora ni private bank huwa hakuna usuperstar.
maana ingekuwa bank ya government, officially ingekuwa imekula kwetu.
 
Siku hizi upo Zanzibar stars au Jahazi modern?
Front page lead
story Rais Mwema...bila shaka atakuwa tayari msituni akijiandaa kuja
kupambana na 'wadeni' wake.

Watamtambua kwa kumdai mwanajeshi yule ohoooo.

Akishindwa hivyo bila shaka atawatungia nyimbo...wataimbiwa kwaya na
kusahau kudai deni.
 
nasubir kuona hizo siku saba zifike tuone kama crdb wanao huo ubavu, kama hawatasikia nyimbo kaisha waimbia ili kupooza hilo denii
 
Benki ya crdb inatarajia kupiga mnada mali za John Komba anayedaiwa zaidi ya tsh 1 bilioni ndani ya siku 7.Source magazeti ya leo.Wakubwa wa ccm wanaifaidi hii nchi kwa kila sekta wananyonya tuu
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco
 
Front page lead story Rais Mwema...bila shaka atakuwa tayari msituni akijiandaa kuja kupambana na 'wadeni' wake.

Watamtambua kwa kumdai mwanajeshi yule ohoooo.

Akishindwa hivyo bila shaka atawatungia nyimbo...wataimbiwa kwaya na kusahau kudai deni.
Mwanajeshi au muimbaji wa jeshi?
Kuna tofauti kubwa sana hapo!
 
bora ni private bank huwa hakuna usuperstar.
maana ingekuwa bank ya government, officially ingekuwa imekula kwetu.

Wakati wa single ya EPA ulikuwepo? Tofauti kati ya CRDB na Uwanja wa ccm kirumba si kubwa kama post yako inavyotaka kutuaminisha mkuu. Ukiplus na mbio za ikulu za 2015 ndio kabisaaaaaa kama kumsukuma ...........
 
komba kitambi kitaisha sasa kumbe kwenda msituni ni deni kumbe akili zako ni kula ela na watoto ni za mkopo da kweli ccm ni shida
 
Benki ya crdb inatarajia kupiga mnada mali za John Komba anayedaiwa zaidi ya tsh 1 bilioni ndani ya siku 7.Source magazeti ya leo.Wakubwa wa ccm wanaifaidi hii nchi kwa kila sekta wananyonya tuu

Angekuwa ananyonya angekopa?
 
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

Pasco hebu tuweke sawa, zile list ndeeefu zinazotoka magazetini zikitangaziwa minada ya mali za wadaiwa wa mabenki, ndio ukosefu wa hii privacy unayoisema hapa? Nafikiri mpaka wafike hatua hii watakuwa wameshawasiliana na wadaiwa wao sugu kwa kipindi cha kutosha tu...
 
Njia rahisi ya kupunguza UNENE au KITAMBI kopa kiwango ambacho huwezi kulipa, wakija kukudai hapo ndio wakati muafaka kupungua na mwisho utakua kimbau mbau.. :A S wink:
 
I kindly request the CRDB bank to observe if not implement 'a zero tolerance' policy in dealing with this guy.

Nadhani mliona matumizi yake (picha akiwa na totoz), toeni fundisho wa wakopaji wapya.
 
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

Na ikiwa taarifa ime-leak kutoka kwake Komba mwenyewe,CRDB watahusikaje hapo mkuu,sababu sijaona sehemu Afisa wa CRDB amekaliliwa akisema hayo maneno sasa inakuwaje wewe uwe umeshapata hitimisho tayari la Komba kusitahili fidia hiyo ya 100bl!
 
Kuna kitu kinaitwa "right to privacy" na "right to disclosure", akipata mwanasgeria mzuri, anaifungulia CRDB kesi ya madai ya kuchafuliwa jina!, na kuidai bilioni 100!. CRDB ili isizidi kula hasara, wata opt for out or court settlement, na atashuka hadi set off ya 1 bilioni!. Sheria mnamlinda mkopaji/mdaiwa kutotajwa kwa majina yake binafsi!.

Pasco

sheria ipi hiyo kama kuna "justifiable cause'???hao Raia mwema yawezekana wao wameona tangazo la mnada kwenye gazeti kama sheria inavyotaka kwamba kbla mnada haujapigwa lazma utangazwe gazetini!!!
 
ni leo kwenye vyombo vya habari tumeskia kwamba mali za mmbunge Kapteni John Komba zitapigwa mnada kwa kudaiwa na benk ya crdb zaidi ya billion moja fedha ambazo ameshindwa kurudisha. Swali langu ni je kwa nini mtu ukope zaidi ya uwezo wako wa kurejesha? Jamani hili liwe fundisho kwetu sisi. Ni kweli saa nyingine tunakuwa na tamaa ya kukopa na kuanzisha biashara ili kufanikiwa haraka. Ila kaa ukijua kuwa biashara hata siku moja haitabiriki

Komba alikomba; inaelekea wakopeshajii wanataka kumkomba sasa.....
 
Back
Top Bottom