KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Tanganian

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2025
Posts
7,391
Reaction score
12,453
Habari ndugu,

CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).

Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.

Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.

Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.

Nifanye nini jamani?
 
Mtafute Wakili Kibatala mkawipige hela mpaka watingishike (Wafiriske kidogo)
 
Tafuta wakili mzuri hasa wale wataalamu wa kesi za cdm mnaweza piga pesa apo ila uwe ccm mzuri maana hiyo bank ina undugu flan kwa mbaali
 
Utajiri huo stuka baba unapiga hela zako unaacha na ajira yenyewe kwanini uteseke kwa kamshahara kadogo
 
Habari ndugu,

CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).

Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.

Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.

Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.

Nifanye nini jamani?
Mbwa takataka wewe kamwambie malayA Samia na genge lake unaowatetea wakusaidie , yaaan niñyi mbwa mnavyojibinua humu na kuandika uharo as if mna maisha kumbe machoko tu ,si ajabu muosha maiti wewe , fala
 
Naona unalia ,hii haina uhusiano na siasa kenge wewe
Tumia Kadi za CCM fasta tu mbona.
Sina chama cha siasa kenge wewe!
 
Mchongo wa kupata pesa huo kama una SIM banking Tafuta Bank statement taangu ulivyokopa mpaka leo watakuletea Email ifungue then print zile transaction hadi siku waliokata pesa yako baada ya hapo

Kaa Mezani andika Demand Note kwenda CRDB wakulipe 200m kama general damages na usumbufu waliokuletea au baada ya 21 days una intend kufungua kesi ya Madai Mahakama kuu ya Tanzania hapo lazima wakuite mezani hapa sasa kuwa na confidence ikiwezekana nenda umepita Konyagi ndogo kabisa hapa ni power of Negotiation sasa maana watataka wakushushe Kimsingi hawapendi uende Mahakamani kwani itawachafua kama Bank wakishuka sana labda uchukue si chini ya 100m.
 
Ni vile tu hali ya maisha ila mikopo inadhalilisha na kuumiza sana !

Mtu anakopa 1m, anakuja kulipa 1.7m....
 
Habari ndugu,

CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).

Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.

Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.

Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.

Nifanye nini jamani?
Dogo wewe inabidi udhulumiwe tu mpuuzi wewe....muite mama yako akusaidie kumbe na ninyi huwa munapata maumivu
 
Kaendelee kushikishwa ukuta lumumba na wale wazee wa chama ili wakulipie huo mkopo. Mnakujaga kunya humu jf mkisahau mna maisha magumu kama ya ngurue
 
Mchongo wa kupata pesa huo kama una SIM banking Tafuta Bank statement taangu ulivyokopa mpaka leo watakuletea Email ifungue then print zile transaction hadi siku waliokata pesa yako baada ya hapo

Kaa Mezani andika Demand Note kwenda CRDB wakulipe 200m kama general damages na usumbufu waliokuletea au baada ya 21 days una intend kufungua kesi ya Madai Mahakama kuu ya Tanzania hapo lazima wakuite mezani hapa sasa kuwa na confidence ikiwezekana nenda umepita Konyagi ndogo kabisa hapa ni power of Negotiation sasa maana watataka wakushushe Kimsingi hawapendi uende Mahakamani kwani itawachafua kama Bank wakishuka sana labda uchukue si chini ya 100m.

Dogo wewe inabidi udhulumiwe tu mpuuzi wewe....muite mama yako akusaidie kumbe na ninyi huwa munapata maumivu
Unakuwa kama fala ,hatutaki vurugu ..
 
Kaendelee kushikishwa ukuta lumumba na wale wazee wa chama ili wakulipie huo mkopo. Mnakujaga kunya humu jf mkisahau mna maisha magumu kama ya ngurue
Yaani ****** wewe unaongea nn? kakojoe ulale haujaitwa..Wamenifuata inbox na nakuja huko Azikiwe Dar
 
Njoo nikukojolee kama nilivyo mkojolea baba yako ndio nilale. Unapenda kukojolewa kijana wa lumumba
 
Back
Top Bottom