Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

kuna ulazima sasa ukitaka kukopa ulete na cheti cha daktari tutamaliza watu wetu bure
 
Jamani Si Crdb Ndo Imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?

Je bila yeye kukopa na kushindwa kulipa ,hayo yote yangetokea?!
 
bank kweli kibo yao kwa wenye tamaa ukihenda kukopa mikona yao iko nyuma tena wanakunyenyekea na wanajichekesha chekesha . sasa ukapitiliza ule mda wao weee utaomba pooooo na kama ujakuwa makini unarudi kijijin kukata mkaa ! pore sana r . i . p komba m/mungu akufanyie wepesi kaburini ( najuwa ni presha ya kufirisiwa ndiyo iliyokuhuwa na kushukuru pia na mie ni shajifunza kitu kwako yaan ata sacos na vikoba sihendi nitavumilia na iki kimshahara kangu sitaki wanangu ni wape shida baadae)
 
Soln ya deni kulipa sio kufa ukishindwa bambikia MTU!!watukibao wanalipa tanesco madeniya wahindi kwenye malipoya UMEME!!angejipanga asingekosa watu wakuwagaia deni lake crdb
 
Back
Top Bottom