Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Kuna kitu kinaitwa kupanua njia vema kukifanya hasa ule mwezi wa mwisho walau mara 2 kwa wiki.. Changamoto itakuwa kwenye Style maana si kifo cha mende wala doggy style zitafaa labda mbuzi kagoma kwema na ikishindikana hiyo basi chuma mboga Alternatively mchuzi juu style ya popo😂😂😂

Unaweza kupanua njia na kuchanika kukawa pale pale 🥺
 
2025 ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu mzee wangu alipooza stroke nilimaliza sana hela pale muhimbili inshallah now kapona kwa asilimia 100 mwaka huu nitaendelea pale nilipo ishia mwaka 2025nilikuwa mtu wa kulia sana 😭😭 mwaka huu 2026 sitalia tena
 
Pole Vincenzo Jr
Mungu ni mwema baba anaendelea vizuri
 
😁😁😆
FB_IMG_1767278973913.jpg
 
Hongera Joanah Mungu akutangulie kwenye jambo lako ufanikiwe

Kwa upande wangu 2026 ni kuanza kujitegemea mwenyewe (kujiajiri) tayari mwaka jana mwishoni nlifanikiwa kusajili kampuni na taratibu zingine zote nimeshakamilisha, hapa nimeanza mchakato wa kutafuta ofisi nianze kukimbizana na ndoto zangu
 
Back
Top Bottom