Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

Hi people,
Heri ya mwaka mpya

Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje

Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually

Wewe je?

Uzi bado....



View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q

Kupambana kwa udi na uvumba kujiunga na BRAZZERS au P*RN HUB, Nataka ku-make money kupitia hii industry
 
 
Back
Top Bottom