Tukutane yardMimi nipo kwenye Forex, nimeweka mtaji wa 1.7M ila kwa muonekano na uzoefu nilioukusanya, ikifika December lazima hizo dolari zikubali kunizalia... 😁
Kuna kitu kinaitwa kupanua njia vema kukifanya hasa ule mwezi wa mwisho walau mara 2 kwa wiki.. Changamoto itakuwa kwenye Style maana si kifo cha mende wala doggy style zitafaa labda mbuzi kagoma kwema na ikishindikana hiyo basi chuma mboga Alternatively mchuzi juu style ya popo😂😂😂Navyoona watu wanachanika kei wakati wa kujifungua nachoka mixer kuogopa 😂
Naam, penye nia pana njia.~
Tukutane yard
Karibu sana kwenye maisha ya aina hii,Naishi nayo haya kuanzia leo 🤣
Nilitaka kusema Amen kabisa, ila nikaona kuna watu wataishikia bango hiyo Amen na kuifanya mada.
😂😂😂😂🙌🏽
Unitakii memaNimefurahia malengo yako
Naomba niwe mwanachama wa hiko chama chako ,nakuahidi kiongozi sitakuwa msaliti kabisa aiseeMimi malengo yangu ni matatu tu 2026
1. Kuanza Phd (chap, mwezi wa tatu)
2. Kufungua NGO (Wiki mbili zijazo naiandikisha)
3. Kuanza mchakato wa kuanzisha chama kipya cha siasa (falsafa ya chama tayari ninayo, jina lipo, logo ipo, na katiba nishaanza ku draft
So, God help me. 🤲
😂😂😂😂🙌🏽
Na mimi nilikuwa nasubiri nione atajibu vipi🤣🤣🤣
Happy new year Joan
Nitakupa assist kwenye mbili tatu za mtoto
Kwa kuanza ondoa hasira na kinya, na usiwe mvivu
Nilitaka kusema Amen kabisa, ila nikaona kuna watu wataishikia bango hiyo Amen na kuifanya mada.
Mimi kwetu pande zote ni makanisani. Babu mzaa baba alikuwa mchungaji, na baba yake bibi yangu mzaa mama alikuwa mtu wa kanisani kabisa, hilo kanisa la Azania Front hapo Dar kalijenga wamemaliza kujenga mwaka 1903.
Hizo habari za "ubarikiwe" na maongezi ya Mungu ni kawaida sana.
Nikirudi nyumbani kitu cha kwanza napewa Biblia niendeshe maombi, kila siku wanasali.
Hapa napokea heri za mwaka mpya na kuombeea baraka za Mungu kila saa.
Hivyo ku catch kwa kuambiwa habari za Mungu si rahisi hi yo, labda nitake kujenga hoja kifalsafa tu.