You'll be fine. Muhimu ni kwamba unataka mtoto. Ingawa wana changamoto zao ila yote kwa yote watakufanya ufurahie dunia maarufu. Kuhusu kuchanika msamba....Kamata huu ushauri. Push only when you feel like pushing, sio kwa sababu nesi kakwambia U push. Ukipata contraction mwili wako ndio unaomsukuma mtoto wewe unasaidia kidogo tu kwa ku push. All the best!