secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,198
😂😂😂😂, Hii ☝️ ndo sehemu pekee iliyonivutia na kunichekesha kwenye huu uzi.Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
😂😂😂😂, Hii ☝️ ndo sehemu pekee iliyonivutia na kunichekesha kwenye huu uzi.Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q

Ana rangi ya andazi sio?Ajafikisha mwaka, anaitwa handsome
Italy ya kigamboniKumalizia ghorofa langu huku kigamboni
Mimi hamna kitu naogopa kama malengo.Nikishea tu mipango na malengo yangu popote huwa ndio nayavuruga na kuyawekea ugumu, sijui ni kwanini? Nmejifunza kuyafanyia kazi kimya kimya.
Kwanini kivipi mkuuMimi hamna kitu naogopa kama malengo.
Ukishajiwekea malengo ni kama unajitia kifungoni kwasababu yasipotimia lazima uchukie.Kwanini kivipi mkuu
Ni kweli mkuuUkishajiwekea malengo ni kama unajitia kifungoni kwasababu yasipotimia lazima uchukie.
Ni mweupe labda akianza kupigwa na jua atakua na rangi ya andaziAna rangi ya andazi sio?
Unavyotamka malengo yako unatua mzigo hivyo unapunguza kasi ya kufanya kwa bidii kuyatimiza.Nikishea tu mipango na malengo yangu popote huwa ndio nayavuruga na kuyawekea ugumu, sijui ni kwanini? Nmejifunza kuyafanyia kazi kimya kimya.
Inaweza kuwa hivyo kweli, nikisema tu inakuwa ngumu sana kutekelezeka kuna muda nawaza au labda nlieshare nae kuna namna anafanya? Usiri ni muhimu sanaUnavyotamka malengo yako unatua mzigo hivyo unapunguza kasi ya kufanya kwa bidii kuyatimiza.
mshamba_hachekwi
Ni kama vile ukiwa na kinyongo ukiongea unatua mzigo hata malengo ni hivyohivyo, usiongee ili kiwe moyoni malengo yako yakusumbue kuyatekelezaInaweza kuwa hivyo kweli, nikisema tu inakuwa ngumu sana kutekelezeka kuna muda nawaza au labda nlieshare nae kuna namna anafanya? Usiri ni muhimu sana
Mwanetu mbona mapemaMungu akipenda niingie mwaka 2027 nikiwa salama.....
Stroke imeponea muhimbili?2025 ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu mzee wangu alipooza stroke nilimaliza sana hela pale muhimbili inshallah now kapona kwa asilimia 100 mwaka huu nitaendelea pale nilipo ishia mwaka 2025nilikuwa mtu wa kulia sana 😭😭 mwaka huu 2026 sitalia tena
2025 ilikua mwiba hata kwangu especially kiuchumi. 2026 naona kabisa utakua mwaka wa shangwee Inshaalah.2025 ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu mzee wangu alipooza stroke nilimaliza sana hela pale muhimbili inshallah now kapona kwa asilimia 100 mwaka huu nitaendelea pale nilipo ishia mwaka 2025nilikuwa mtu wa kulia sana 😭😭 mwaka huu 2026 sitalia tena