Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani

1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke

2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁

3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁

4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀

5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine

6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi

7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗

8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile

9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo

10. Kuna vilaza
Vilaza promax

Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Hapa nipo namba 5 mgongoni
 
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu hamna mtu anayesemwa mi naona tunaambiana tu live. Sasa mtu kwenye id hii ni marafiki, anakuja na I'd nyingine anakutukana guys guys let it be .LMG is full loaded. Ukifiwa ndio unanjifanya una roho ngumu [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] aaaah kumekuchaa sasa. Lol
 
Codes zangu ziligonga humo humo kwa Depal na bwana anayegombaniwa huyo certified hater [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Hao wana bifu toka kitambo aaahh huo ubuyu naujua mwanakwetu…!! [emoji1787]

Kwahiyo Depal alifiwa na mtoto au nani??
Hapo ndo sijajua..!!

Ila D humu ndani anaonekana wa moto sana anatuhumiwa sana kubeba vichwa vya wenzie..!! Atakuwa mtramu huyu..!! Atupe tips anatumia nini na sie tutumie kwa wahalifu wetu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

D Igweeeeeeeeeeeee
We demu mtundu mtundu sana!!
Au Marry J nyingi unazifukiza mpk kwenye nonino[emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom