Mbona wale wa mahusiano wanaanza huku wamependana halafu wakiachana wanakuja kumwagana maungo yao humu hujawataja 😂 😂Tuhuma bila ithibati
Utani wenye uhalisia
Wivu wa kijinga
Shuku kisa chitchat
Maskhara yanapogeuka ugomvi
Umbea kwa usiyemjua vema
Mas nitch
Hisia zilizotafsiriwa kinyume!🤔😫😷
Sister upo miss you♥️Mbona wale wa mahusiano wanaanza huku wamependana halafu wakiachana wanakuja kumwagana maungo yao humu hujawataja 😂 😂
View attachment 3575011
majitu ya siku hizi hayana shadow.. ule utisho haupo tenaMchana ni watu, usiku ni majitu 🙌🏿🏃🏿
min -me na Mpaji Mungu id zenu zingine ni zipi?Tunasamehe machoni kumbe rohoni tuna visasi
Tuna ID 3,3
Moja ya kulike
Ya pili ya kukandia
Ya tatu ya kutoa ushauri🤪
Hii moja tu nataka kuikimbia ya pili ntaiweza?min -me na Mpaji Mungu id zenu zingine ni zipi?
Hapo sijui nipo kundi gani?JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani
1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke
2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁
3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁
4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀
5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine
6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi
7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗
8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile
9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo
10. Kuna vilaza
Vilaza prompt
Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Unaenda wapi? Kuja hapa.Huu uzi una kitu nitarudi 😅
Cha kufurahisha hao hao waliokuwa wanaandika hoja zenye mashiko wakati wa nyuma ndio hao hao wamebadili Ids na kuingia kwenye mfumo wa uandishi wa GenZ.Jeiefu ni kama kipoozeo tu... umetoka zako Job, ama uko bored unaingia kutoa stress ......
Siku hizi jf imebadilika mno.... sio kama ile ya zamani kunakuwa na hoja nzito, zimeshiba, mitazamo yakinifu... unajibiwa kwa hoja, kistaarabu !!magine now dume lintheafungua thread linasema mimi ni mzuri .... 🗑 🚮 kina hanzu n.k
Angalia jimegee kipande chako😁Hapo sijui nipo kundi gani?
Hujaandika ndo maana nimeuliza!Angalia jimegee kipande chako😁
😅min -me na Mpaji Mungu id zenu zingine ni zipi?