Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mabwakuuuu!! Ko CH kaopoa mchuchu mpya mjini JF au?? Mbona mabwakuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Wafanye kutupatia hayo maubuyuuuu bhanaa wee.
Umbea hauna posho loh
IMG-20260506-WA0017.jpg
 
😹😹😹😹 Mmefungia uzi wetu mods ila mmeshindwa kufunga makufuli ya member wenu kwenye mipododo yao..!! 🤣

Mambo ya JF muyaache JF yaishie yenyewe..!!

Ankal Mshana Jr kaombe uzi wako urudi hawajakutendea haki..!!
 
Bi shost baba angu alivyoanzisha uzi kuna watu walimshushia lawama na hao ndio wa li repot
 
Ankal sijui kama itawezekana
Itawezekana kwani kuna mtu katishiwa kifo mule? 😹😹😹

Ila JF watu waoga waoga sana jukwaani.
Huko piem aaaahh wanajiachia na tupicha twa vitumbua wanatuma fureesshhhh..!!
 
Bi shost baba angu alivyoanzisha uzi kuna watu walimshushia lawama na hao ndio wa li repot
Nyuzi zake zote wanamfungia hapana wampe haki yake..!!

Hizo lawama zao wabaki nazo sisi tunataka uzi uflow wengine weekend inaanza leo 😹😹😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Mmefungia uzi wetu mods ila mmeshindwa kufunga makufuli ya member wenu kwenye mipododo yao..!! [emoji1787]

Mambo ya JF muyaache JF yaishie yenyewe..!!

Ankal Mshana Jr kaombe uzi wako urudi hawajakutendea haki..!!
Moderators warudishe uzi plz, waache Shengesha ziendelee km kawaaa.
Au ni waajiriwa wapya hawa modes? Active tafadhariii fungulia uziiii bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itawezekana kwani kuna mtu katishiwa kifo mule? [emoji81][emoji81][emoji81]

Ila JF watu waoga waoga sana jukwaani.
Huko piem aaaahh wanajiachia na tupicha twa vitumbua wanatuma fureesshhhh..!!
Uduguuu mie sitakiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mipodido km mipodido, wa kunyoa wananyoa, wakuacha kipili pili wanaachaa.

Nacheka ile ya kulegea, eti haichagui wala haibaguii, jamaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wana mineno humu wakichachukaa vibayaa, mweeeh
 
Back
Top Bottom