Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Nyuzi zake zote wanamfungia hapana wampe haki yake..!!

Hizo lawama zao wabaki nazo sisi tunataka uzi uflow wengine weekend inaanza leo [emoji81][emoji81][emoji81]
Ndiwoooooooo!! Nyuzi zifunguliwee watu waanze kukesha weekend.

Active na Cookie tafadharinii fungulieni nyuzii za shengesha, JF ichangamke bhanaa, aiiiiih.

Haina kupoa wala kuboa, ni heka heka mwaaa mwiiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom