Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Fake P
Issue ya kua unaibuka kama chafya sifagiliii kama vipi tufungue uzi wangu mimi na wewe ili ukiwa na hamu ujue pa kunikuta na pia nitakua nikikusubiri🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Childlish Chilita🤣🤣
Njooooo nae mimi hiyo michezo I like 👍 👌 waleteeeeeeee🔥🔥
🤣🤣 As I told you no hurry at al. Umerecover so early, ulifurahia msiba?🥺🥺 Kweli kuzaa sio kupata
 
Childlish Chilita🤣🤣

🤣🤣 As I told you no hurry at al. Umerecover so early, ulifurahia msiba?🥺🥺 Kweli kuzaa sio kupata
Wewe haupo timamu maskini si wakulumiwa sana 😢 sijui una kichaa cha ndoa

Huyo mwanaume unaenihusisha nae na simjui nikimujua lazima nimuonje atakua najua mambo maana sio kwa muhaho huu😁

Mimi sio huyo unaemuita D ukute yuko pembeni anakuangalia namna unavyoweweseka 🙌

Ila huyo unaemuita D kajua kukunyosha ***** 😁😁
 
Ilikua kichaa Cha mapenzi sasa hivi well Improved kichwa Cha Ndoa 🤣🤣
Kumbe ndio sababu hiyo, kwanini hujasema lakini, Mimi nakuita Chilita D umetokea wapi lakini 🤣
Nakujipa credit inaruhusiwa. Waaambie wasifute picha zangu bana ni Mimi mtupu 🤣🤣
Nikuonyeshe alivyo inyoosha?
 
Nataka nikufundishe kitu binti tega sikio mwanaume hatafutwi kwa namna hii akisoma hapa atazidi ku m date huyo D mala mia maana wewe hujielewi

Nitakupa sababu kwanini huyo mwanaume wako ana ku cheat 🫰

Kwanza kitendo cha kufanisha I'd yangu na huyo unaemuita D bila uhakika wala ushahidi bali kwa mihemko yako inaonesha ni kiasi gani shule haikua na faida kwako ada wazazi wangelewa kukiko kuuza ng'ombe na kusomesha ng'ombe nyingine🙌

Narudia mimi sio huyo D unaemtafuta natudia mimi sio huyo D unaemtafuta

Nitakushauri kitu dada mapenzi sio ubabe
Jaribu kujilegeza mtoto wa kike huyo bwana sijui mume arudi kwako
Lasivyo kwa ujinga huu huyo bwana atakuchoka au tayali kakuchoka ndio maana tokea ulivyofananisha I'd yangu na huyo D unashinda ukibweka humu

Binti kaa jiulize huyo D kakuzidi wapi ?
Kama kuiuno huzungushi anza kuzungusha kama nazi kuhuni bibi kunaa kipenzi lamba na koni
Huenda labda utamshawishi arudi
Lakini hivii😁 utaendelea kubweka na mume harudi ng'ooo bora basi mie ningekua D ningekuhurumia ili usije kuokota makopo ila sasa mie sio 😢

Kingine hebu dili na mwanaume wako kaeni kitako mlambe hata unyao ili amuache D maana inaonekana bila yeye tutakupoteza maskini😢

Wallah nimekuhurumia laiti ningekua huyo D ningekuachia maskini ila sasa mie sie 😢

Onyo langu la mwisho stop ku quote kwenye comment au kuni fata PM badala yake Nunua kanga moja uvae na kikuku tafuta na chetezo usubiri huo msalaba wako 🙏🤝
 
Paragraphh 9 zote unaniandikia Mimi🤣🤣🤣 khaaa guys guys.. you have to be serious. Osha kwanza punanj ndio utoe onyo Chilita, Nataka nitekenye tena sehemu nyingine ufunguke zaidi Saauwah?
Si tumesema no hurry slow slow Kwann. Nisiquote sasa?🥺
 
Awamu hii ukitekenya naandika 10 nataka kuhakikisha mwali wangu huibiwi bwana tena🫰
Twende kazi nikuoneshe ulipokosea👌

Nikufundishe namna ya kurudishisha huyo mhaini wako kwa utuo✌️
 
🤣🤣Hivi kumbe ni bwana kaibiwa🤣 Hizi trick za kuiba bwana unazimudu unauzoefu nazo eeeh 🤣🤣
 
Sasa kinachofanya ubweke kama mbwa wa lindo ni nini?😁
Hebu acha kuzunguka tekenya uliposema unatekenya nikufundishe watu wana cheka je wakitekenywa😃
Kazi ya lindo si yangu umesahau?🤣 Sikuzunguka ndio maana siku badili Id 🤣 Nauhakika huwezi cheka wallah sababu chini hapafungi😌😌 Umeweka wigo mdogo sana kubadili I'd why lakini tunakosa uhuru bwana🤣🤣🤣
 
Ndio nilisikia wenzio wakilala ndani wewe unalala njee kwa mjibu wa wana nzengo ulidhani ndio utaogopwa ?😁

Sijabadili I'd ila mhasimu wako atakua ka ku ignore ili aendelee kula na kipofu😎
Mie nipo lele na nakuahidi sitabonyeza kidude cha ignore 🔥🔥🔥
Una vyotaka nataka🫰
 
Ulisikia jamani🤣🤣 Wanazengo ??jiamini wew unijibu kwa ile Id yako bwana 🤣🤣🤣ndio nikuambie kati yangu na yule s**t nani analala nje.

Jibu hata kwa like tu na ile I'd 🤣🤣🤣 vingenoga sana ili, Nile zangu ban ya Haki bin haki 🤣🤣🤣 do me a favor for a while please. Sitakuangusha I promise 🤣
 
Back
Top Bottom