Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Nataka nikufundishe kitu binti tega sikio mwanaume hatafutwi kwa namna hii akisoma hapa atazidi ku m date huyo D mala mia maana wewe hujielewi

Nitakupa sababu kwanini huyo mwanaume wako ana ku cheat 🫰

Kwanza kitendo cha kufanisha I'd yangu na huyo unaemuita D bila uhakika wala ushahidi bali kwa mihemko yako inaonesha ni kiasi gani shule haikua na faida kwako ada wazazi wangelewa kukiko kuuza ng'ombe na kusomesha ng'ombe nyingine🙌

Narudia mimi sio huyo D unaemtafuta natudia mimi sio huyo D unaemtafuta

Nitakushauri kitu dada mapenzi sio ubabe
Jaribu kujilegeza mtoto wa kike huyo bwana sijui mume arudi kwako
Lasivyo kwa ujinga huu huyo bwana atakuchoka au tayali kakuchoka ndio maana tokea ulivyofananisha I'd yangu na huyo D unashinda ukibweka humu

Binti kaa jiulize huyo D kakuzidi wapi ?
Kama kuiuno huzungushi anza kuzungusha kama nazi kuhuni bibi kunaa kipenzi lamba na koni
Huenda labda utamshawishi arudi
Lakini hivii😁 utaendelea kubweka na mume harudi ng'ooo bora basi mie ningekua D ningekuhurumia ili usije kuokota makopo ila sasa mie sio 😢

Kingine hebu dili na mwanaume wako kaeni kitako mlambe hata unyao ili amuache D maana inaonekana bila yeye tutakupoteza maskini😢

Wallah nimekuhurumia laiti ningekua huyo D ningekuachia maskini ila sasa mie sie 😢

Onyo langu la mwisho stop ku quote kwenye comment au kuni fata PM badala yake Nunua kanga moja uvae na kikuku tafuta na chetezo usubiri huo msalaba wako 🙏🤝
😹😹😹😹😹
 
yani huy kesi ishaisha ndo unakuja lol😅😅😅 ndugu yako Binti wa zamani anamkanda mzima muulize vizuri
Ndugu weeh niko busy kuuza vijora hata JF siku hizi naingia kwa manati..!!

Yani ubuyu umeniuma sana huu sema kuna code nishazifungua 😹😹😹😹

Kwahiyo leo paliwaka humu?
Picha ulihifadhi? Mambo kwa ushahidi ujue 😹🤣🤣
 
Paragraphh 9 zote unaniandikia Mimi🤣🤣🤣 khaaa guys guys.. you have to be serious. Osha kwanza punanj ndio utoe onyo Chilita, Nataka nitekenye tena sehemu nyingine ufunguke zaidi Saauwah?
Si tumesema no hurry slow slow Kwann. Nisiquote sasa?🥺
Shusheni ubuyu mzima mzima basi waungwana, mbona mnabania? 😹😹😹
 
yani huy kesi ishaisha ndo unakuja lol😅😅😅 ndugu yako Binti wa zamani anamkanda mzima muulize vizuri
We acha tu, haya siyo mambo yangu ila leo huu mtanange nimeufuatilia

Ndugu weeh niko busy kuuza vijora hata JF siku hizi naingia kwa manati..!!

Yani ubuyu umeniuma sana huu sema kuna code nishazifungua 😹😹😹😹

Kwahiyo leo paliwaka humu?
Picha ulihifadhi? Mambo kwa ushahidi ujue 😹🤣🤣
Mama huu ubuyu ulifunguliwa uzi wake mpya wa kumung'unyia, mambo yalikua ni hivi 🔥 🔥 🔥

Uzi wa mwendelezo 👇
 
Weeehh..!! Na uzi uliwekwa kumbe? 😹😹😹

Haya bwana gani huyo anagombaniwa?
Sio Certified Hater 😜😹😹😹

Ila humu kuna hekaheka
kiufupi Fake kachanganya mafaili kahisi huyo ShesRise_1 ni Depal kumbe kayavagaa, kamtusi huyo dada wa mwanzo halafu D kaja kamwaga yote hadharani kuhusu anayegombaniwa, Fake kakosa maneno na akapewa warning ya kumbully Shesrise.
 
Codes zangu ziligonga humo humo kwa Depal na bwana anayegombaniwa huyo certified hater 😹😹😹😹

Hao wana bifu toka kitambo aaahh huo ubuyu naujua mwanakwetu…!! 🤣

Kwahiyo Depal alifiwa na mtoto au nani??
Hapo ndo sijajua..!!

Ila D humu ndani anaonekana wa moto sana anatuhumiwa sana kubeba vichwa vya wenzie..!! Atakuwa mtramu huyu..!! Atupe tips anatumia nini na sie tutumie kwa wahalifu wetu..!! 😹😹😹

D Igweeeeeeeeeeeee
We demu mtundu mtundu sana!!
Au Marry J nyingi unazifukiza mpk kwenye nonino🤣😹😹😹
 
Codes zangu ziligonga humo humo kwa Depal na bwana anayegombaniwa huyo certified hater 😹😹😹😹

Hao wana bifu toka kitambo aaahh huo ubuyu naujua mwanakwetu…!! 🤣

Kwahiyo Depal alifiwa na mtoto au nani??
Hapo ndo sijajua..!!

Ila D humu ndani anaonekana wa moto sana anatuhiwa sana kubeba vichwa vya wenzie..!! Atakuwa mtramu huyu..!! Atupe tips anatumia nini na sie tutumie kwa wahalifu wetu..!! 😹😹😹

D Igweeeeeeeeeeeee
We demu mtundu mtundu sana!!
Au Marry J nyingi unazifukiza mpk kwenye nonino🤣😹😹😹
Marry J ndo nini tena na wew usiku huu? hebu achia code watu wamelala💃👌
 
Back
Top Bottom