Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Sababu hiyo hiyo inayofanya pembetatu duara lisiwepo, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na maovu asiwepo.

Pembetatu duara katika Euclidean geometry haipo. Haiwezi kuwepo, dhana inajipinga yenyewe, hivyo haiwezi kuwepo kama uhalisia.

Dhana ya Mungu anayejipinga mwenyewe katika dhana tu, haiwezi kuwa na Mungu huyo katika uhalisia, inabaki kuwa dhana ya kufikirika tu kama pembetatu duara.

Kwa sababu ile le.

Contradiction.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote anakuwa contradicted na ulimwengu huu unaoruhusu maovu.

Hivyo hayupo, ni dhana potofu tu.

Kama vile dhana ya kuwapo kwa "pembetatu duara".
Twende taratibu hapa tunazungumzia vitu viwili,Mungu na huu ulimwengu. Sasa ikiwa huu ulimwengu unamcontradict kwanini jibu liwe hakuna Mungu? kwanini isiwe labda hajaumba huu ulimwengu au kuna sifa zenye kuelezwa si za kweli kuhusu Mungu?
 
Mi naamin Mungu yupo na wanaobisha naona wanakomalia watu watoe sababu za kwanini Mungu yupo lakin wao hawasemi sababu za kwanini Mungu hayupo kama kiranga amekazana kusema tu Mungu gani kawaziba watu maskio na macho halafu awahukumu,mara sijui kuna vita watu wanapata shida mi nina majibu juu ya haya ila naomben sababu zenu zenye mashiko...na kama mnaamin hakuna Mungu kwan nini mnahofu na mnafatilia maandiko maana mnavijua kweli vifungu na bahati mbaya mnaenda kuvisoma vifungu na kuvi twist ili iendane na mnachokiamin...Yes unaweza kutumia kama reference kujenga hoja zako ila lete sababu zako nje ya mrengo wa kidin au Maandiko kuwa hakuna Mungu hata za kisayans we lete ntakujibu..!

I am Muslim.!
Kaka mkubwa hawa uwezo huo hawana na hawajawahi kuwa nao na hawata kua nao.

Hawa ni wagonjwa wa akili na nimesha waambia tiba ya maradhi ya akili ipo ni wao tu kuitafuta wataipata.
 
Sababu hiyo hiyo inayofanya pembetatu duara lisiwepo, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na maovu asiwepo.

Pembetatu duara katika Euclidean geometry haipo. Haiwezi kuwepo, dhana inajipinga yenyewe, hivyo haiwezi kuwepo kama uhalisia.

Dhana ya Mungu anayejipinga mwenyewe katika dhana tu, haiwezi kuwa na Mungu huyo katika uhalisia, inabaki kuwa dhana ya kufikirika tu kama pembetatu duara.

Kwa sababu ile le.

Contradiction.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote anakuwa contradicted na ulimwengu huu unaoruhusu maovu.

Hivyo hayupo, ni dhana potofu tu.

Kama vile dhana ya kuwapo kwa "pembetatu duara".

No ngumu kuulewa huo mfano kwakuwa wamesharogwa wamelewa akili zao wamezifunga wao wenyewe

Na kibaya zaidi waliowaroga wamekufa yesu kafa na muhamad kafa kama wangekuwepo Leo tungewauliza maswali
 
tapatalk_1536076454249.jpeg
Tafakari chukua hatua
 
Yaan nasikitika unapata wapi ujasiri wa kusema hayo?

muhamad hakusoma anakufundisha kitu gani wakati yeye hakusoma?

Unataka kujua Mimi nimesoma nini wakati hujiulizi mtu hajasoma halafu anakufundisha ? na ww unakubali

Kibaya zaidi anakufundisha habari za uwongo na wewe umetulia wala huulizi maswali?

Wewe unanishangaa mimi badala ya kujishangaa wewe mwenyewe!! Maswali madogo yanakushinda, umesoma wapi na umesoma nini??, simply like that.

Halafu unasema asiyesoma hawezi kufundisha mtu!!! nani kakuambia?? au ndiyo atheism zenu?!!.

Nabii Muhammad (saw) yeye hakujua kusoma na kuandika, kwani kusoma na kuandika kwa fikra yako ndiyo elimu??

Kuwa na elimu ni kitu tofauti na kusoma na kuandika,😁😁😁

Yeye alikuwa anayo elimu kuoka kwa Mungu na siyo hii elimu ya uongo na kweli ya kutheorise vitu, eti, General theory of relativity au special theory of relativity- nadharia tu!!😁😁 uongo na kweli.

Elimu ni tofauti na kusoma na kuandika, upo Astro nomaaaa?
 
Muhamad alikuwa anayo elimu ipi ya kudanganya watu? ndio unayozungumzia wewe au elimu gani ?

Leta ushahidi wa elimu ya mtume alipoipata kama wewe unasema kweli

"FALYATANAA FASIL MUTANAA FISUUN"
 
Muhamad alikuwa anayo elimu ipi ya kudanganya watu? ndio unayozungumzia wewe au elimu gani ?

Katika kitabu kilichoandikwa na mzungu mmoja aliyefanya utafiti juu ya "the 100 most influential persons in the world".

Who ranks the number one ??

👆🏻Kalagabaho 😁😁
 
Katika kitabu kilichoandikwa na mzungu mmoja aliyefanya utafiti juu ya "the 100 most influential persons in the world".

Who ranks the number one ??

👆🏻Kalagabaho 😁😁

Leta ushahidi wa elimu aliyosoma mtume muhamad?

Na mwenyewe alijua kuwa mambo anayoyasema hana uhakika nayo
amesikia kutoka kwa jamaa fulani yaan kama yeye alikuwa anasimuliwa na huyo mtu mengine ya uwongo na mengine ya ukweli,naye akasema

"WALA TALBISUUL HAQQI BILBAATWIL W ATAKTHUMUL HAQQI WA ANTUM TAALAMUUN"
 
No ngumu kuulewa huo mfano kwakuwa wamesharogwa wamelewa akili zao wamezifunga wao wenyewe

Na kibaya zaidi waliowaroga wamekufa yesu kafa na muhamad kafa kama wangekuwepo Leo tungewauliza maswali
Aliyegundua kuwa binaadamu tuna nguvu ndani yetu ni nani na aliwezaje kugundua hilo? Ushawahi kujoji hilo au unaamini tu tuna nguvu ndani yetu bila kuhoji?
 
Angalia sasa yani unazungumzia matendo ya watu wa Saudia na Israel! Tatizo mnatafuta maelezo ya kuhalalisha msimamo wenu ila hamuelezi ni vp hakuna Mungu.

Yani hoja zenu ni mambo ambayo hujadiliwa hata na wenye kuamini Mungu,ila ajabu na nyie mnajichomeka humo humo.
Hebu wewe thibitisha kuwa kuna Mungu. Unaweza kuwa na sababu za msingi zinazoweza kushawishi.
 
Kwa asilimia kubwa mawazo kama haya huwapata binadamu wengi pale wanapopitia magumu kiasi cha kuona maisha kwao hayana thamani yoyote

Hii inapelekea hata kulaumu kwa nini hata amekua hai...mwisho wa siku akili lazima ifikirie mambo kama haya
Umafikiri ni kwa mini Huyo Mungu ni mkatili kiasi hicho hadi aruhusu watu kupitia magumu ili wasiamini kuwa kuna Mungu? Halafu inakuwaje Mungu ajitengenezee adui wake mwenyewe? Unaweza kuona hats binadamu na akili yake ndogo kuliko huyo Mungu, hawezi kufanya hivi.
 
Hebu wewe thibitisha kuwa kuna Mungu. Unaweza kuwa na sababu za msingi zinazoweza kushawishi.
Na unapothibitisha kuwa kuna Mungu, karibu kwa kila namna kutokumuelezea hiyo Mungu bila kumuhusisha na kitu. Ninajua hili haliwezekani. Huwezi kumuelezea Mungu kama free entity. Huwezi. Lazima Mungu awe function ya kitu, vitu, au hali. Huu ni udhaifu mkubwa sana.
 
Kwanini unazungumzia uthibitisho kwani kuna ambaye haamini Mungu kwa sababu ya kakosa uthibitisho?
Hapa ndipo linapokuja suala la utashi. Tuna utashi unaotufanya tuhoji, tambua jema na baya. Au unaweza kujiuliza kwa namna ya tofauti. Mungu alikiwa na sababu IPI haswa ya kumpa binadamu utashi?
 
Leta ushahidi wa elimu aliyosoma mtume?

Na mwenyewe alijua kuwa mambo anayoyasema hana uhakika nayo ndio
amesikia kutoka kwa jamaa fulani yaan kama yeye alikuwa anasimuliwa na huyo mtu akasema

"WALA TALBISUUL HAQQI BILBAATWIL W ATAKTHUMUL HAQQI WA ANTUM TAALAMUUN"

Unajua hayo maneno alishushiwa yule unayemsema hakujua kusoma wala kuandika ??😁😁😁 au baniani mbaya kiatu chake dawa?!,😁😁
Na unapothibitisha kuwa kuna Mungu, karibu kwa kila namna kutokumuelezea hiyo Mungu bila kumuhusisha na kitu. Ninajua hili haliwezekani. Huwezi kumuelezea Mungu kama free entity. Huwezi. Lazima Mungu awe function ya kitu, vitu, au hali. Huu ni udhaifu mkubwa sana.

Unasema mtu hawezi kumuelezea Mungu kama "free entity" lazima aelezewe kama "function" ya kitu kingine, hapa ninataka kukukumbusha kuwa vitu vyote ni function ya Mungu ni si kinyume chake.

Halafu swali digo tu nakupa, unaweza kuthibitisha "uwepo wako wewe binafsi?", kama unaweza naomba ufanye hivyo ili nione utajithibishaje wewe mwenyewe kama upo.
 
Hapa ndipo linapokuja suala la utashi. Tuna utashi unaotufanya tuhoji, tambua jema na baya. Au unaweza kujiuliza kwa namna ya tofauti. Mungu alikiwa na sababu IPI haswa ya kumpa binadamu utashi?
Tatizo wengi mnatafsiri imani kama hisia tu,kwamba watu wanatumia hisia kusema kuna Mungu.

Umezungumzia kuhoji,ila ajabu wenye msimamo wa kuwa hakuna Mungu ndio wasiopenda kuhojiwa huo msimamo wao.
 
Mwandishi anaonekana ni shetani, sio bure
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
 
Tatizo wengi mnatafsiri imani kama hisia tu,kwamba watu wanatumia hisia kusema kuna Mungu.

Umezungumzia kuhoji,ila ajabu wenye msimamo wa kuwa hakuna Mungu ndio wasiopenda kuhojiwa huo msimamo wao.
Sidhani kama kuna mtu anakwepa kuhojiwa. Imani ni matokeo ya kujihoji, kuhojiwa, kuhojiana na mambo kama hayo. Kuamini bila kuhoji ni tatizo kubwa na ndilo linalotupelekea kutetea imani ambazo umejikuta upo huko "accidentally" kutokana na misimamo ya wazazi.
 
Back
Top Bottom