Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,698
- 91,631
ShetaniNi nini huwafanya wanaume kuchepuka wakiwa kwenye ndoa?

Kama walivyo waamini wengi u ejaribu kumtetea lakini umeangukia pua.KUMUUMBA SHETANI
Shetani hakuumbwa kama mwovu, bali kama kiumbe chenye heshima na nafasi ya juu (malaika). Alipoamua kwa hiari kumwasi Mungu, akawa adui wa haki. Mungu hakuwahi kumbana mtu kumtii; anawapa wote hiari. Mungu hatendi dhambi wala hachochei dhambi – ni kiumbe mwenyewe anayechagua. Hukumu ni ya haki, kwa sababu wema na uovu si sawa. Mungu atamuhukumu Shetani wakati wake ukifika (Ufunuo 20:10).
HovyoMungu yupo! kwa wateule anajionesha lakini wengi hawamjui na ndio wanaowachanganya wengine. Kumjua Mungu ni kwa neema itokayo kwake wala si kwa maarifa ya mwanadamu.
Acha kupenda ligi Ndugu yangu, maandiko ni mengi…Shetan hakuwah kuwa malaika leta andiko hapa
Nini kimefanya dunia nzima 98% ina wafuasi wa shetani and less than 2% ni wa Mungu? Je Shetani kashinda vita?Ni nini huwafanya wanaume kuchepuka wakiwa kwenye ndoa?
Hilo swali la shetani muulize shetani mwenyewe akupe majibu… Mimi sio muwakilishi wake wala sijui alikuwa anafikiria nini, na huyo shetani mwenyewe hajaandika biblia yake Kama Mungu alivyo fanya.
Kumjibia sitamtendea haki…
Acha kupenda ligi Ndugu yangu - bibles ipo kajisomee hata online.Kama walivyo waamini wengi u ejaribu kumtetea lakini umeangukia pua.
Hakupaswa kumuua bali kuiondoa ila roho ya uasi na kumwacha aendelee kuishi. Kinachoonekana ni kwamba Shetani alimshinda Mungu nguvu. Ndioaana mmekalia hizo bla bla za maelezo mengi ya kujaribu kuficha aibu.
Mungu unasema hatendi uovu kwanibi alimwambia Daudi kwenda kuwaua wafilisti na wa amaleki kwa mkono wake?
Kwanini alimtuma Yuda, Simioni na Wenzake kwenda Upalestina kuwateketeza wote wazee, watoto na wanawake wasio na hatia?
Wema wake uko wapi?
Ccm watakujibu muda si mrefu , ndio watanapenda kishindo cha 98%…Nini kimefanya dunia nzima 98% ina wafuasi wa shetani and less than 2% ni wa Mungu? Je Shetani kashinda vita?
Hata mwaka huu oktoba 29 umeshuhudia kazi ya shetani haina mbambamba ile ya Mungu chaliii
Shetani alipata wapi kiburi na mawazo ya kuasi? Au aliumbwa akiwa mwenye dhambi?Acha kupenda ligi Ndugu yangu, maandiko ni mengi…
Kwa mujibu wa Biblia, Shetani (Lucifer) alikuwa malaika kabla ya kuasi Mungu. Hivyo, madai kwamba hakuwahi kuwa malaika si sahihi kibiblia.
Maandiko ya kuthibitisha:
Ezekieli 28:14-15 (SUV)
“Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hivi; ulikuwa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu; ulitembea katikati ya mawe ya moto. Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ulipoumbwa hata uovu ulipoonekana ndani yako.”
Hapa “kerubi” ni aina ya malaika wa hadhi ya juu, na inazungumzia kuhusu kiumbe (Lucifer) aliyekuwa mkamilifu kabla hajaanguka katika dhambi ya kiburi.
Isaya 14:12-14 (SUV): “Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ee nyota ya asubuhi, mwana wa alfajiri! … Nitajipandisha juu ya nyota za Mungu; nitaketi juu ya mlima wa mkutano… nitakuwa kama yeye Aliye juu.”
Maelezo: Haya maandiko yanaonyesha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi), lakini akaasi Mungu kwa kiburi na kuangushwa kutoka mbinguni.
Ufunuo 12:7-9 (SUV): “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka; naye joka akapigana nao pamoja na malaika zake… yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi, au Shetani, adanganyaye ulimwengu wote.”
Hapa tunaona tena Shetani akiwa na malaika wake waliomuunga mkono- ikionyesha alikuwa mmoja wao kabla ya kuasi.
Biblia inafundisha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi) kabla hajamyasi Mungu.
Kwa hivyo kauli “Shetani hakuwahi kuwa malaika” si sahihi kulingana na maandiko.
Na wewe sasa toa maandiko yako pia kuthibitisha kauli yako
Aya muhimu ni:
- Ezekieli 28:14–15
- Isaya 14:12–14
- Ufunuo 12:7–9
Majibu wanayo wenyewe… waulize.Shetani alipata wapi kiburi na mawazo ya kuasi? Au aliumbwa akiwa mwenye dhambi?
Malaika wameacha kuasi au bado wapo wanaoendelea kuasi?
HahahahCcm watakujibu muda si mrefu , ndio watanapenda kishindo cha 98%…
Binafsi sijui
Na hata ukimtegemea hakusaidii kitu, yuko kimya tu wala hajaliIlivyo imani na waaminio imani hiyo wanasema Mungu ni mkamilifu nae karuhusu mengine mengi pamoja na uliyoyataja ili tu viumbe wake hasa sisi binadamu tumkumbuke na kumtegemeq yeye.
Mfano wewe ulimtegemea kwenye lipiNa hata ukimtegemea hakusaidii kitu, yuko kimya tu wala hajali
Wewe una akili chokonozi na tekenyeshi. Ni wachache wanaoyaona haya achilia mbali kusema Mungu anakosea. Ongezea. Kuumba Yesu na Mohamed wakatumika kuwaibia na kuwagombanisha wajinga wengi duniani, kutishia watu kuwachoma, kutoa ahadi za anasa na kuonyesha binadamu ni wapenda anasa, kuruhusu jamii moja iibie na kuitawala nyingine kwa jina lake, unyanyasaji wa kijinsia na mengine mengi.1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Huna ujualo na utak kujifunza.Acha kupenda ligi Ndugu yangu, maandiko ni mengi…
Kwa mujibu wa Biblia, Shetani (Lucifer) alikuwa malaika kabla ya kuasi Mungu. Hivyo, madai kwamba hakuwahi kuwa malaika si sahihi kibiblia.
Maandiko ya kuthibitisha:
Ezekieli 28:14-15 (SUV)
“Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hivi; ulikuwa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu; ulitembea katikati ya mawe ya moto. Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ulipoumbwa hata uovu ulipoonekana ndani yako.”
Hapa “kerubi” ni aina ya malaika wa hadhi ya juu, na inazungumzia kuhusu kiumbe (Lucifer) aliyekuwa mkamilifu kabla hajaanguka katika dhambi ya kiburi.
Isaya 14:12-14 (SUV): “Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ee nyota ya asubuhi, mwana wa alfajiri! … Nitajipandisha juu ya nyota za Mungu; nitaketi juu ya mlima wa mkutano… nitakuwa kama yeye Aliye juu.”
Maelezo: Haya maandiko yanaonyesha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi), lakini akaasi Mungu kwa kiburi na kuangushwa kutoka mbinguni.
Ufunuo 12:7-9 (SUV): “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka; naye joka akapigana nao pamoja na malaika zake… yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi, au Shetani, adanganyaye ulimwengu wote.”
Hapa tunaona tena Shetani akiwa na malaika wake waliomuunga mkono- ikionyesha alikuwa mmoja wao kabla ya kuasi.
Biblia inafundisha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi) kabla hajamyasi Mungu.
Kwa hivyo kauli “Shetani hakuwahi kuwa malaika” si sahihi kulingana na maandiko.
Na wewe sasa toa maandiko yako pia kuthibitisha kauli yako
Aya muhimu ni:
- Ezekieli 28:14–15
- Isaya 14:12–14
- Ufunuo 12:7–9
61.KUMUUMBA SHETANI: