Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mungu yupo lakini huwezi kumuona kama jinsi unavyoona watu na vitu katika mazingira tunamoishi!!, lakini "His disciplined signatures" ndizo itakayokudhibitishia uwepo wake, kama jinsi mimi sasa hivi sikuoni ila najua upo kwa sababu ya mawasiliano ya mimi na wewe katika "realm" yetu ya kibinadamu.

Lakini mawasiliano yetu sisi (wanadamu) na Mungu yapo kwenye "medium" nyingine siyo hii medium ya binanadamu kwa binadamu ambayo ni "time-space affected", Mungu sio time-space affected na ndiyo maana yeye ni ETERNAL, hana muda , sasa huwezi wewe kupanga Yeye ajidhihirishe kwako vipi!!, ni wewe ujinyenyekeze kwake na umuombe ajionyeshe kwake--- kama sisi binadamu tunanyenyekea na kutoa heshima kwa wazazi wetu, vipi tushindwe kujinyenyekeza zaidi kwa Yule aliyetuumba sote sisi pamoja na wazazi wetu??!!.

Jiulize, ulitoka wapi?, ukifa unakwenda wapi? au don't you have any purpose in this world??, hata bakteria, wanyama nk, wanayo purpose , what about we humans??, tumekuwepo tu hapa duniani through chances??, how can a chance create a discipline??, obvious there must be a conscious supreme being behind whole phenomenon.
Kama vile unataka kusema kuwa Mungu yupo kwa sababu hatuna majibu sahihi ya maswali yako kwenye aya ya mwiaho.

Binadamu unaweza kujirhibiyisha kuwa upo "physically" ila Mungu hawezi.

Mfano wako wa nyumba. Kama nyumba itakuwepo, itaashiria kuwepo kwa mtu. Kama nyumba haitokuwepo milele, itaashiria hakuna mtu atayekuwepo milele. Hii inamaanisha kuwa kusipokuwepo na watu, vitu na hali, Mungu hatakaa awepo.
 
Nihoji vp hebu nipe mfano?
Mungu nini / nani? Nikijiuliza Mungu ni nani, nafsi hii ya "nani" haimaanishi kuwa mtu? Mungu yupo kweli? Kwa mini hajaweza kuwaokoa watu zaidi ya 1500 wanaoangamia kwa tsunami huko Indonesia. Mbona kama vile mambo yanajiendea tu? Huu Mungu wa huruma na upendo yupo kweli?

Hakika unaweza kuhoji maswali mengi sana. Yatafutie majibu. Huu ndiko kujifunza. Kukariri ni sehemu ya kujifunza. Ila, huongezi chochote. Hoji!.
 
Ukishajihoji hayo maswali utawezaje kujua hayo majibu utayopata ndio sahihi?

Chukua mfano mtu anahoji kuhusu huo upendo wa Mungu halafu anajipa jibu la kuwa hakuna Mungu,mwengine anapata jibu kuwa hizi dini zinaeleza uongo kuhusu za upendo wa Mungu na anahitimisha kwa jibu la kuwa Mungu yupo ila hana dini.
 
Huwezi kuyajibu hayo maswali kwakuwa huijui quran wala uislam

Umekuwa muislam kisa baba na mama walikuwa waislam

Naomba unijibu hili swali

Aliyekuwa anampa mashairi muhamad ni nani? au hujasoma AL KHULASWA TU NUURI YAKINI SIRAATU NABAWIYA

Ungekuwa unayo dini ningejua nianzie wapi lakini huamini Mungu na wala huna dini yoyote hata hata upagani huna.

Qul yaaa yuhaal Kaafiruun.
Laa a'ghbudu maa tagh'buduun.
Wa laa antum gh'abiduuna maaa agh'bud.
Wa laa anaa gh'abidunn mmaa gh'abadttum.
Wa laaa antum gh'aabiduuna maaa agh'budu.
Lakum diinakum wa liyadiin.

(109:1-7).
 
Maelezo marefu Lkn hujajibu swali nililokuuliza

"AFDHWALU MAA QALLA WA DALLA" Ubora wa maneno ni yale machache kwa wanaoambiwa

Muhamad hajui kusoma wala kuandika rejea suratul Al araaf aya 157 kuwa hajui kusoma

Sasa mtu hajui kusoma anawezaje kushika akili zako wewe ? Ukinijibu hili na mm nitakujibu nimesomea kitu gain

Nani aliyekuwa anampa mashairi Muhammad ? Historia ya muhamad inatuambia kuna mtu aliyekuwa anamsomea aya je ni nani huyo?

SHIMAAA ALEYKUM YA MOKAZE nijibu hayo maswali

Bro usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo.

Muhammad amani ya Allah iwe juu yake,hakuwa anajua kusoma na kuandika na huu ndio muujiza miongoni mwa miujiza ya nabii huyu,Allah alijua kutakuwa na watu kama nyinyi,ili msije kusema ya kuwa Qur'an ameitunga yeye,japokuwa kuna wajinga na wasusuavu wa mioyo wana dai Qur'an imetungwa.

Ama kuhusu nani aliyekuwa anamsomea aya,hili liko wazi ni mjumbe wa Allah aliye juu malaika muheshimiwa Jibril alayhi salaam.

Na Allah alitoa ahadi kwani mtume amani ya Allah alikuwa anapata shida kuzohifadhi aya,Allah akasema atazidhibiti aya zake kifuani mwake na wala hato sahau.

Nakuuliza swali,wapi umeisoma historia ya mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Narudi kuchukua jibu langu.....
 
Huwezi kuyajibu hayo maswali kwakuwa huijui quran wala uislam

Umekuwa muislam kisa baba na mama walikuwa waislam

Naomba unijibu hili swali

Aliyekuwa anampa mashairi muhamad ni nani? au hujasoma AL KHULASWA TU NUURI YAKINI SIRAATU NABAWIYA
Kaka wewe mbona uislamu huujui kabisa yaani huujui tena sana.

Qur'an huijui,halikadhalika hadithi za Rasul huzijui.

Nimerudi.........
 
Huwezi kuyajibu hayo maswali kwakuwa huijui quran wala uislam

Umekuwa muislam kisa baba na mama walikuwa waislam

Naomba unijibu hili swali

Aliyekuwa anampa mashairi muhamad ni nani? au hujasoma AL KHULASWA TU NUURI YAKINI SIRAATU NABAWIYA
Halafu unaposema aliyekuwa ana mpa mashairi Mtume Muhammad ni nani ?

Je una maanisha Qur'an ni mashairi ?

Ikiwa unasema Qur'an ni mashairi basi wewe ni mjinga wa wajinga katika elimu ya Ushairi.

Na nina uhakika elimu ya Ushairi wa Kiarabu huijui. Ukisema unajua,utabidi ujibu maswali yatakayo fata.

Haikuwa elimu isipokuwa kwa kusomeshwa,sasa kama nyinyi hamsomi huku mkijidai mnasoma,sisi wenzenu tuliamua kusoma na kuzingatia.

Nipo........
 
Kama vile unataka kusema kuwa Mungu yupo kwa sababu hatuna majibu sahihi ya maswali yako kwenye aya ya mwiaho.

Binadamu unaweza kujirhibiyisha kuwa upo "physically" ila Mungu hawezi.

Mfano wako wa nyumba. Kama nyumba itakuwepo, itaashiria kuwepo kwa mtu. Kama nyumba haitokuwepo milele, itaashiria hakuna mtu atayekuwepo milele. Hii inamaanisha kuwa kusipokuwepo na watu, vitu na hali, Mungu hatakaa awepo.

Hujanielewa ndugu yangu, ni kwamba Mungu haguswi na "muda" (not time bound) hivyo anakuwa ni wa Milele (eternal/ hana mwanzo wala hana mwisho) ,kwa msingi huu kila kitu kinaanzia kwake kwa sababu ya ETERNITY yake.

Yeye haguswi na "space" (not space bound) na hivyo yeye anakuwa yupo kila mahali (omnpresent), sasa akiwa na hiyo sifa ya kuwepo kila mahali hawezi kamwe kuwa na "physical body" ila atakuwa na "spiritual body."

Nilipotoa mfano wa nyumba kuwepo katikati ya msitu, nilitaka kukufahamisha kuwa haiwezekani kukuta nyumba imejijenga yenyewe mahali pale, bila shaka kutakuwa na mtu/watu wameijenga (yaani walikuwepo watu kabla hiyo nyumba haijajengwa) kwahiyo nyumba ni "function" ya mtu/watu (kazi ya watu) na inakuwa ni kitambulisho kwamba hao watu wapo kwa kadiri tutakapoona nyumba za aina hiyo zikiendelea kujengwa.

Maumbile ya asili ni "functions" za Mungu (kazi za Mungu), chukua mfano; Jua linawaka na kutoa nishati kubwa sana ya nuru na joto kwa ajili ya dunia na pia linaishikilia dunia katika muhimili wake, katika kutoa hiyo nishati yenye manufaa makubwa sana kwa uhai wetu, jua hubadilisha hydrogen gas kuwa helium gas ambapo katika tendo hilo ndipo nishati hizo hupatikana--Mwanadamu naye akaiga na akatengeneza "hydrogen bomb"., sasa utakuja jiulize imekuaje mambo hayo yamepangwa so systematically with such a discipline? , je, inawezekana vipi ikawa ni chance??,, yaani binadamu atengeneze "hydrogen bomb" kwa mahesabu lakini hydrogen bomb la kwenye jua liwe limekuja through a chance !!🤔🤔.

Lazima kuna conscious being behind the phenomenon, na huyo ndiye Mungu.
 
Kwa nini shuleni, au vyuoni kunawekwa mitihani? Ukipata hilo jibu basi utakuwa umepata majibu ya hilo swali lako
11. kwanini aliumba dhambi? Hili swali halijawahi kupata majibu
 
Kinywa cha mpumbavu kimejaa upumbavu bali kinywa cha mwenye busara kimejaa hekima
 
Shuleni kuna mitihani kwa sababu walimu hawajui kila kitu. Hawajui mwanafunzi anachojua.

Mungu anayejua yote kwa nini ahitaji mtihani?

Unafananisha mambo tofauti.
Kwahiyo lengo la mitihani ya shule ni mwaalimu kutaka kujua anachojua mwanafunzi? kwahiyo mwalimu hajui mwanafunzi wake anajua nini hivyo anampa mtihani ili ajue?
 
Hujanielewa ndugu yangu, ni kwamba Mungu haguswi na "muda" (not time bound) hivyo anakuwa ni wa Milele (eternal/ hana mwanzo wala hana mwisho) ,kwa msingi huu kila kitu kinaanzia kwake kwa sababu ya ETERNITY yake.

Yeye haguswi na "space" (not space bound) na hivyo yeye anakuwa yupo kila mahali (omnpresent), sasa akiwa na hiyo sifa ya kuwepo kila mahali hawezi kamwe kuwa na "physical body" ila atakuwa na "spiritual body."

Nilipotoa mfano wa nyumba kuwepo katikati ya msitu, nilitaka kukufahamisha kuwa haiwezekani kukuta nyumba imejijenga yenyewe mahali pale, bila shaka kutakuwa na mtu/watu wameijenga (yaani walikuwepo watu kabla hiyo nyumba haijajengwa) kwahiyo nyumba ni "function" ya mtu/watu (kazi ya watu) na inakuwa ni kitambulisho kwamba hao watu wapo kwa kadiri tutakapoona nyumba za aina hiyo zikiendelea kujengwa.

Maumbile ya asili ni "functions" za Mungu (kazi za Mungu), chukua mfano; Jua linawaka na kutoa nishati kubwa sana ya nuru na joto kwa ajili ya dunia na pia linaishikilia dunia katika muhimili wake, katika kutoa hiyo nishati yenye manufaa makubwa sana kwa uhai wetu, jua hubadilisha hydrogen gas kuwa helium gas ambapo katika tendo hilo ndipo nishati hizo hupatikana--Mwanadamu naye akaiga na akatengeneza "hydrogen bomb"., sasa utakuja jiulize imekuaje mambo hayo yamepangwa so systematically with such a discipline? , je, inawezekana vipi ikawa ni chance??,, yaani binadamu atengeneze "hydrogen bomb" kwa mahesabu lakini hydrogen bomb la kwenye jua liwe limekuja through a chance !![emoji848][emoji848].

Lazima kuna conscious being behind the phenomenon, na huyo ndiye Mungu.
Ninakuelewa sana ndugu yangu. Ila maelezo yako yote yanaishia hapa. Mungu yupo kwa kuwa kuna mambo ambayo katika akili zetu na uwezo wetu hatuna majibu kwayo.

Kwa mantiki hii, ni ukweli usiopingika kuwa, uwezo wa Mungu miongoni kwa miongoni, karne kwa karne umekuwa ukisogezwa mbele kutokana na juhudi za mwanadamu za kuyatafutia ufumbuzi haya maswali yanayoonekana kuwa ni magumu katika nyakati tofauti.

Ninasema hivi kwa sababu kuna wakati watu waliamini njia pekee ya kusafiri bara moja kwenda jingine ni kwa njia ya maji, tena kwa mitumbwi na Nashua. Hakuna aliyewaza meli. Hakuna aliyekaa kuamini treni za mwendo kasi n.k Kadiri muda unavyokwenda, mambo mengi yaliyokuwa ndoto, yanakuwa kweli. Uwezo wa Mungu unazidi kusogezwa upenuni.

Kimsingi, siyo Mungu, ni mawazo ya watu. Tafsiri ya Mungu yupo kila mahali ni kuwa watu wapo kila mahali. Pasipokuwa na mtu, huko, hakuna Mungu, hakuna kitu na hakujawahi kuwepo.

Mungu anaishi milele, tafsiri yake ni kuwa watu wapo. Wataendelea kuwepo hadi Siku ambayo we we hautakuwepo. Hali kadhalika na Mungu, ataendelea kuwepo hadi siku ambayo wewe hutokuwepo.Fikiria akikosa watu wa kumtetea. Tunajua hawezi kujitetea, hivyo hataweza kuendelea kuwepo.
 
Majibu ya hayo mambo ambayo unasema hatuyajui na hata kama tutuyajua bado nafasi ya Mungu itabaki pale pale kwamba YEYE ni "causa causans".

Ulimwengu (ni so vast) na binadamu ni "microcosm" ya huo ulimwengu, yaani ukitaka kutambua utukufu na kila sifa njema ya Mungu JICHUNGUZE WEWE MWENYEWE.

Umezungumzia juu ya njia bora za usafiri wa kisasa, takriban miaka 1400 iliyopita, Mtume Muhammad (saw), alitoa bishara fulani juu ya siku zetu, bishara yenye maneno (yanayofanana) hivi:-

Dajjali atakuwa na punda atakayekuwa akila moto.

Watu watakaa ndani ya tumbo lake ili kusafiri badala ya mgongoni mwake.

Huyo punda atasafiri angani,nchi kavu na baharini.

Safari iliyochukua miezi, kwa huyo punda itachukua siku na masaa.

Huyo punda kabla ya kuruka angani, itatangazwa ili waliomo ndani wajiandae kabla hajaanza safari.

Huyo punda wa akaye safiri baharini atabeba shehena ya bidhaa wingi wake utakuwa kama milima.

Dajali mwenyewe atakuwa na jicho moja la kushoto na lile la kulia kitakuwa chongo.

Dajali atakuwa na uwezo wa kuua mtu na kumfufua.

Yeyote atakaye mchukua Dajali kama rafiki huyo atamneemesha na atakaye mchukua kama adui huyo atamdhikisha.

👆🏻kwa hiyo kuhusu njia mpya za kisasa za usafiri na maendeleo ya viwanda nk, vyote hivyo vilikwisha tabiriwa na watu wa Mungu miaka mingi kabla.

Kifupi ni kwamba huwezi kuchunguza chochote bila kuishia na maneno "MUNGU YUPO"

Ulimwengu huu ulikujaje into existence ??.
 
Majibu ya hayo mambo ambayo unasema hatuyajui na hata kama tutuyajua bado nafasi ya Mungu itabaki pale pale kwamba YEYE ni "causa causans".

Ulimwengu (ni so vast) na binadamu ni "microcosm" ya huo ulimwengu, yaani ukitaka kutambua utukufu na kila sifa njema ya Mungu JICHUNGUZE WEWE MWENYEWE.

Umezungumzia juu ya njia bora za usafiri wa kisasa, takriban miaka 1400 iliyopita, Mtume Muhammad (saw), alitoa bishara fulani juu ya siku zetu, bishara yenye maneno (yanayofanana) hivi:-

Dajjali atakuwa na punda atakayekuwa akila moto.

Watu watakaa ndani ya tumbo lake ili kusafiri badala ya mgongoni mwake.

Huyo punda atasafiri angani,nchi kavu na baharini.

Safari iliyochukua miezi, kwa huyo punda itachukua siku na masaa.

Huyo punda kabla ya kuruka angani, itatangazwa ili waliomo ndani wajiandae kabla hajaanza safari.

Huyo punda wa akaye safiri baharini atabeba shehena ya bidhaa wingi wake utakuwa kama milima.

Dajali mwenyewe atakuwa na jicho moja la kushoto na lile la kulia kitakuwa chongo.

Dajali atakuwa na uwezo wa kuua mtu na kumfufua.

Yeyote atakaye mchukua Dajali kama rafiki huyo atamneemesha na atakaye mchukua kama adui huyo atamdhikisha.

[emoji1312]kwa hiyo kuhusu njia mpya za kisasa za usafiri na maendeleo ya viwanda nk, vyote hivyo vilikwisha tabiriwa na watu wa Mungu miaka mingi kabla.

Kifupi ni kwamba huwezi kuchunguza chochote bila kuishia na maneno "MUNGU YUPO"

Ulimwengu huu ulikujaje into existence ??.
Asante kwa maelezo mazuri. Mtume anawakilisha uwezo wa binadamu. Kama ilivyo kwa mitume wengine kama Yesu. Kushindwa kupata jibu sahihi la mwanzo wa ulimwengu, hakumaanishi kuwa Mungu yupo. Watu wapo na wana wajibu wa kutafuta chanzo hicho. Tafiti zilikuwepo na zinaendelea kufanyika.

Maendeleo makubwa ya utabibu ni ishara kuwa binadamu ana uwezo mkubwa sana. Anajaribu kushindana na Mungu asiyesitisha magonjwa pamoja na uwezo wake mkubwa wa kufanya hivyo. Unaweza kuona magonjwa kwake ni silaha ya kuwachukua watu wake.

Hata hivyo, binadamu amejitahidi. Sasa anafanya transplant ya organs kwa mfano, huduma ambazo miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni ndoto. Yani, hata binadamu sasa ana vipuli. Teknolojia ya 3d printing nayo inachagiza kwa ukaribu sana maendeleo na miujiza hii ya vipuli vya viungo vya binadamu.

Itafika wakati kutakuwa na vipuli vya organs kama moyo, figo, ini n.k. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani life span itakuwa imeongezeka.

Kujibu swali lako la mwisho. Kimsingi, ulimwengu na vitu vyake- watu, wanyama, viumbe hai na visivyo hai-vipo kwa kuwa wewe upo. Unaweza kukumbuka uzoefu wako wa watu, wanyama na Mungu kabla ya kuwepo kwako?

Fikiria hadi sasa kuwa haupo, unafikiri ni kipi hasa kipo? Kwa ufupi, katika hali yako ya kutokuwepo, hakuna kilichopo, hakuna kitu ulimwengu, wala Mungu na hakuna kilichowahi kuwepo na hakitakaa kuwepo, hadi Siku utakayokuwepo. Samahani kama ninakuchanganya.
 
Mjadala wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) unaisha pale ninapoomba contradiction ya kuwepo kwa Mungu huyu ya "problem of evil" inapokosa majibu.

Kama hi contradiction haijaweza kujibiwa, Mungu huyu atakuwa ni hadithi tu.

Ni sawa na mtu akwambie kwamba katika Euclidean geometry kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Halafu umuulize mtu huyo, sasa pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, hilo pembetatu duara lina nyuzi ngapi? 180? 360? au ngapi?

Pembetatu ikiwa pembetatu mbona tayari haiwezikuwa duara?

Duara likishakuwa duara mbona tayari haliwezi kuwa pembetatu?

Halafu mtu anashindwa kukujibu.

Anakwambia pembetatu duara lipo tu.

Halipimiki, halionekani, halichoreki, lipo tu.

Halafu anataka ukubali lipo.
 
Sio kwamba inakosa majibu,bali wewe hutaki majibu. Na umeshajibiwa mara kadhaa juu ya swali hilo dogo tena la kitoto sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom