Kwa munasaba wa tulichokiongelea "Poa" haina utata hapo wala hakuna haja ya kuijadili "Poa". Tafakari.Hujamaliza.
Umeandika poa, hujaeleza poa ni kwa kipi.
Poa unakubali Mungu hayupo?
Au poa unakubali kwamba huwezi kuthibitisha Mungu hayupo?
Au poa hutaki kubishana tu umeshindwa kuendelea?
Au poa kumaliza mjadala tu hujui hata poa ya nini hususan?