Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Unajua hayo maneno alishushiwa yule unayemsema hakujua kusoma wala kuandika ??[emoji16][emoji16][emoji16] au baniani mbaya kiatu chake dawa?!,[emoji16][emoji16]

Unasema mtu hawezi kumuelezea Mungu kama "free entity" lazima aelezewe kama "function" ya kitu kingine, hapa ninataka kukukumbusha kuwa vitu vyote ni function ya Mungu ni si kinyume chake.

Halafu swali digo tu nakupa, unaweza kuthibitisha "uwepo wako wewe binafsi?", kama unaweza naomba ufanye hivyo ili nione utajithibishaje wewe mwenyewe kama upo.
Kwanza, kukujibu kwa kuandika ujumbe huu ni ishara kuwa nipo. Pili, ninaweza kukuthibitishia kuwa nipo kwa kujiwasilisha mahali ambapo utahitaji Mimi niwepo. Kwa uchache, ninaweza kukujibu hivi.

Mimi binadamu nisiye na uwezo wa kumfikia Mungu hata kwa chembe, ninasubiri Mungu ajirhibitishe kuwa yupo angalao kwa ujumbe mfupi au kwa kujiwasilisha.

Karibu kumwelezea Mungu, tuone kama siyo "function" ya hali na vitu. Hebu Fanya jaribio hili angalao umsaidie kumthibitisha kuwa yupo.
 
Angalia kauli yako:-

" kukujibu kwa kuandika ujumbe huu ni ishara kuwa nipo"

👆🏻Hiyo kauli yako ni "function" yako ambayo imethibitisha kwamba upo, na hata akija mtu kuniuliza kutaka kujua kama wewe upo nitampa jibu kwamba upo kwa sababu ya kauli yako uliyoniandikia hapo juu na hiyo ndiyo "function" yako kwamba upo.

Sasa inakuaje unapopewa "functions" za Mungu, zinazothibitisha kuwa Yeye yupo halafu unazipinga kwa hasira kwamba huzitaki hizo "functions" !!??? 😁😁😁😁😁
 
Angalia kauli yako:-

" kukujibu kwa kuandika ujumbe huu ni ishara kuwa nipo"

[emoji1312]Hiyo kauli yako ni "function" yako ambayo imethibitisha kwamba upo, na hata akija mtu kuniuliza kutaka kujua kama wewe upo nitampa jibu kwamba upo kwa sababu ya kauli yako uliyoniandikia hapo juu na hiyo ndiyo "function" yako kwamba upo.

Sasa inakuaje unapopewa "functions" za Mungu, zinazothibitisha kuwa Yeye yupo halafu unazipinga kwa hasira kwamba huzitaki hizo "functions" !!??? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sina hasira ndugu. Samahani kama ujumbe wangu umeashiria kukasirika. Samahani sana.

Ninalazimika kukubaliana nawe. Ila, ngoja tumsubiri Mungu aandike ujumbe kama wangu, angalao ili athibitishe kuwa yupo. Ukiona ujumbe wake, nijulishe. Sasa kama hats kwa hili anashindwa, ujue hakuna kitu cha namna hiyo. Mungu ni mawazo yako. Hujiulizi kuwa wewe unaweza kufanya kwa 100% hiki ninachokihitaji kutoka kwa Mungu pamoja na uwezo wako mdogo kama punje ya haradali ukijilinganisha na Mungu, lakini 100% hiyo Mungu hawezi kutuma huo ujumbe?
 
Ndugu, unaweza kuthibitisha kuwepo kwa Mungu bila kuwepo kwa mwanadamu? Kwa mtazamo wangu, binadamu ndio "function" pekee inayomfanya Mungu awepo.
 
Hapo ndipo unapokosea ndugu yangu, mimi na wewe ni mazao ya huyo Mungu na huyo Mungu kawezesha mimi na wewe tuweze kuwasiliana kwa njia mbalimbali kwa sababu katuumba katika "realm" moja ya ubinadamu kama jinsi alivyoumba ndege ,wanyama nk, katika "their respective realms".na wao wanazo njia zao za mawasiliano. Sasa usitake njia hii yetu ya mawasilano ndiyo Mungu aitumie that's very absurd kumtaka Mungu the supreme afanye unavyotaka wewe.

Mungu ni kama "hub" kila kitu kinachipuka kutoka hapo na yeye katengeneza njia ya sisi kuwasiliana naye wala siyo sisi tujitengenezee njia yetu wenyewe ya kuwasiliana naye.

Kama kweli upo "absolute serious" kumtafuta Mungu na "kumuona" katika njia Yake,(nasema absolute serious) kwa sababu wapo watu wengine wanacheza shere tu juu uwepo wa Mungu.

Fanya maombi ukitaka Yeye ajidhirishe kwako katika njia ile yeye mwenyewe anayotaka iliyokuwa bora na sio njia unayoitaka wewe, Mungu ni mtukufu na mwenye heshima na waheshimiwa hawalazimishwi bali wanaombwa kwa taadhima na upole.
 
Ndugu, unaweza kuthibitisha kuwepo kwa Mungu bila kuwepo kwa mwanadamu? Kwa mtazamo wangu, binadamu ndio "function" pekee inayomfanya Mungu awepo.

Hapo tena unakosea unaposema "binadamu ndiyo function pekee inayomfanya Mungu awepo"

Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo bila ya binadamu, Mungu ndiye kaumba kila kitu pamoja na binadamu ila katika viumbe vyake wote ni binadamu tu anaweza kudhihirisha (manifestation) utukufu wa Mungu, ukiangalia jinsi binadamu alivyo na anavyotekeleza mambo yake hakuna yeyote aliyekuwa na fikra zinazochemka sawasawa atapinga uwepo wa Mungu.

Chukua mfano wa "the most complex man made machine" the space shuttle jinsi inavyofanya kazi kwa nidhamu iliyokusudiwa, kwa sababu wanasayansi wamekaa na kuweka nidhamu kadhaa katika hicho chombo ndiyo maana kinafanya "desired functions" kama jinsi ilivyopangwa, hao wanasayansi ni binadamu sasa utasemaje hao wanasayansi hawakuumbwa na "MWANASANSI" mkubwa zaidi yao!!,kwa sababu akili (brain) waliyoitumia kuunda "shuttle" hawakujipa wao wenyewe, na akili zao zilifanya kazi kwa nidhamu ili kuleta "the disciplined desired outcomes".

Kuna mifano mingi sana ya kuthibitisha kuwa Mungu yupo katika njia ya kimazingira ambapo hakuna haja ya kuianisha kwa sababu mtu akitumia akili kidogo tu atagundua.

Kuna njia za kidini pia ambazo hizo ni hatua ya pili ya kuzidi kumjua Mungu. Try the way of Islam.
 
Naam. Angalao umejibu swali nililokuwa ninakuuliza. Kwamba, jaribu kumuelezea Mungu bila kutumia vitu na hali. Katika ujumbe wako huu, umemwelezea Mungu kupitia vitu na unahitimisha kwa kusema ipo mifano mingi inayoweza kuthibitisha kuwepo kwa Mungu. Unaonesha pia kutaka kutumia mawazo ya dini kujaribu kuthibitisha Mungu yupo. Unathibitisha kuwa hakuna namna Mungu anaweza kujithibitisha au angalao kuwepo bila kutegemea uwepo wa vitu na hali. Literslly, nothing like God exists. What exist is human beings and its surroundings.
 
Mungu yupo lakini huwezi kumuona kama jinsi unavyoona watu na vitu katika mazingira tunamoishi!!, lakini "His disciplined signatures" ndizo itakayokudhibitishia uwepo wake, kama jinsi mimi sasa hivi sikuoni ila najua upo kwa sababu ya mawasiliano ya mimi na wewe katika "realm" yetu ya kibinadamu.

Lakini mawasiliano yetu sisi (wanadamu) na Mungu yapo kwenye "medium" nyingine siyo hii medium ya binanadamu kwa binadamu ambayo ni "time-space affected", Mungu sio time-space affected na ndiyo maana yeye ni ETERNAL, hana muda , sasa huwezi wewe kupanga Yeye ajidhihirishe kwako vipi!!, ni wewe ujinyenyekeze kwake na umuombe ajionyeshe kwake--- kama sisi binadamu tunanyenyekea na kutoa heshima kwa wazazi wetu, vipi tushindwe kujinyenyekeza zaidi kwa Yule aliyetuumba sote sisi pamoja na wazazi wetu??!!.

Jiulize, ulitoka wapi?, ukifa unakwenda wapi? au don't you have any purpose in this world??, hata bakteria, wanyama nk, wanayo purpose , what about we humans??, tumekuwepo tu hapa duniani through chances??, how can a chance create a discipline??, obvious there must be a conscious supreme being behind whole phenomenon.
 
Ukijaribu kutafakari tens, utaona hakuna namna nyingine ya kujinyenyekeza kwa huyo Mungu bila kujinyenyekeza kwa binadamu na viumbe wengine. Huu ndio ukweli. Ukijisikia kuwa unampenda Mungu, ni lazima uwe umempenda binadamu, wanyama au viumbe visivyo hai.

Mungu anategemea medium fulani. Ninakubali, kama nilivyoeleza kwenye aya iliyotangualia. Labda nirudie, kwamba hakuna namna unaweza kumpenda Mungu kabla ya kumpenda binadamu na mazingira yake. Hii bado inadhihirisha kuwa na mwendelezo wa kuwepo kwa upendo baina ya watu ndio mwendelezo wa kuwepo wa Mungu. Hii inaendelea kudhihirisha kuwa Mungu ni kitu ambacho hakipo au kama kipo ni mawazo yanayotawala namna ya maisha tu.
 
Na kwa muktadha huu, unaweza kuwaza unaposema unamwomba Mungu, unaomba nini haswa. Unaomba kitu kisichopo na unategemea majibu. Tafsiri rahisi ya kuomba ni kuongeza concentration kwenye jambo unalofanya ili kuongeza uwezekano wa kufanikiwa.

Usifikiri ukiwa na mpango wa kunywa sumu na ukamuomba Mungu akusaidie ufanikiwe, atakuepusha. Kitakachokuepusha ni kubadili mawazo yako tu.

Unaweza kuwaza ni kwa namna gani gumu mbili zinazoshindana kushinda zote zinamtegemea Mungu mmoja awasaidie. Mungu anafahamika so mbaguzi. Unaweza kudhani waombaji wanamchanganya tu Mungu. Amoe nani na nani asimpe ushindi. Kinachotawala ni mawazo tu. Hakuna Mungu. Labda Mungu pekee ni juhudi zako.
 
Mungu yupo lakini huwezi kumuona kama jinsi unavyoona watu na vitu katika mazingira tunamoishi!!, lakini "His disciplined signatures" ndizo itakayokudhibitishia uwepo wake, kama jinsi mimi sasa hivi sikuoni ila najua upo kwa sababu ya mawasiliano ya mimi na wewe katika "realm" yetu ya kibinadamu.

Lakini mawasiliano yetu sisi (wanadamu) na Mungu yapo kwenye "medium" nyingine siyo hii medium ya binanadamu kwa binadamu ambayo ni "time-space affected", Mungu sio time-space affected na ndiyo maana yeye ni ETERNAL, hana muda , sasa huwezi wewe kupanga Yeye ajidhihirishe kwako vipi!!, ni wewe ujinyenyekeze kwake na umuombe ajionyeshe kwake--- kama sisi binadamu tunanyenyekea na kutoa heshima kwa wazazi wetu, vipi tushindwe kujinyenyekeza zaidi kwa Yule aliyetuumba sote sisi pamoja na wazazi wetu??!!.

Jiulize, ulitoka wapi?, ukifa unakwenda wapi? au don't you have any purpose in this world??, hata bakteria, wanyama nk, wanayo purpose , what about we humans??, tumekuwepo tu hapa duniani through chances??, how can a chance create a discipline??, obvious there must be a conscious supreme being behind whole phenomenon.
Unajuaje kama yupo? Kupitia vitu, hali na watu. Kwa nini hukubali kuwa Mungu ni function ya vitu, watu na hali? Japokuwa kwenye maelezo yako, unadhibitisha hili bila chembe ya shaka. Na hii inahitimisha kuwa God cannot exist as an independent entity, but as a function of things, humans and situations/ circumstances. Sikh tutakayokubali hili, ndilo dunia itakapoanza kuwa sehemu salama ya kuishi. Itafikia mahali ambapo tutagundua kuwa, upendo na heshima anayopewa Mungu asiyekuwepo, unapaswa kuelekezwa kwa binadamu na mazingira yake.
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana kuwahi kuwepo hapa duniani. Mungu akurehemu sana na tukuombee maana nawaza kitakachokupata....
 
Mungu wa bisasi na malipizi hajawahi kuwepo. Haya ni mawazo yako binafsi na matamanio yako mabaya. Unazidi kudhihirisha kuwa hakuna Mungu wa namna hiyo.
 
Unajuaje kama yupo? Kupitia vitu, hali na watu. Kwa nini hukubali kuwa Mungu ni function ya vitu, watu na hali? Japokuwa kwenye maelezo yako, unadhibitisha hili bila chembe ya shaka. Na hii inahitimisha kuwa God cannot exist as an independent entity, but as a function of things, humans and situations/ circumstances. Sikh tutakayokubali hili, ndilo dunia itakapoanza kuwa sehemu salama ya kuishi. Itafikia mahali ambapo tutagundua kuwa, upendo na heshima anayopewa Mungu asiyekuwepo, unapaswa kuelekezwa kwa binadamu na mazingira yake.

Kwa maana hiyo ya "function" ni sawa, yaani uumbaji wake ni ishara tosha kwamba yupo, mfano umeenda katikati ya pori na huko ukakuta nyumba hisia zako za awali utajua nyumba hiyo imejengwa na mtu/watu kwa sababu haiwezekani aslan nyumba ikajijenga bila ya kuwepo na "disciplined mechanism" na hata wadudu wanajenga nyumba zao katika nidhamu fulani ikiashiria kwamba wapo na wanaongozwa na nidhamu.

Tunapata usiku na mchana, dunia inazunguka katika orbit yake huku ikishikiliwa na nguvu za uvutano kati yake na jua na halikadhalika sayari zingine ni hivyo hivyo-- nani kaweka hiyo "disciplined mechanism??", jua linatoa nishati ya joto na nuru hapa duniani kwa kuchoma hewa ya hydrogen (nuclear fussion reaction), nishati hiyo ndiyo chanzo cha nishati zote hapa duniani na maisha yetu na ya mimea yanategemea greatly nishati hiyo, nani kaweka hiyo "disciplined mechanism"??

Jinsi sayari zinavyotii kanuni ya uvutano (kanuni hiyo kaweka nani ?) , na binadamu naye akaiga hiyo kanuni na akaweza kurusha "artficial satellites" angani.

Kama mimi na wewe tunawasiliana basi mawasiliano yetu ni "function" (signature) inayotutambulisha kwamba "TUPO", japo hatuonani basi maumbile (creations) ni signature inayoonyesha kuwa YUPO "conscious being" aliyeyaumba naye ni Mungu.

Hapo bado hujaangalia mambo mengi mengine kadha wa kadha yanayotii nidhamu mbalimbali.
 
Sidhani kama kuna mtu anakwepa kuhojiwa. Imani ni matokeo ya kujihoji, kuhojiwa, kuhojiana na mambo kama hayo. Kuamini bila kuhoji ni tatizo kubwa na ndilo linalotupelekea kutetea imani ambazo umejikuta upo huko "accidentally" kutokana na misimamo ya wazazi.
Kwahiyo tunatakiwa tuwahoji wazazi?
 
Unajua hayo maneno alishushiwa yule unayemsema hakujua kusoma wala kuandika ??😁😁😁 au baniani mbaya kiatu chake dawa?!,😁😁

Unasema mtu hawezi kumuelezea Mungu kama "free entity" lazima aelezewe kama "function" ya kitu kingine, hapa ninataka kukukumbusha kuwa vitu vyote ni function ya Mungu ni si kinyume chake.

Halafu swali digo tu nakupa, unaweza kuthibitisha "uwepo wako wewe binafsi?", kama unaweza naomba ufanye hivyo ili nione utajithibishaje wewe mwenyewe kama upo.

Ustadhi mbona swali unalikwepa?

Muhamad hakujua kusoma wala kuandika hiyo elimu kaipata wapi?

Hujiulizi maswali mtu hakusoma wala hajui kuandika anawezaje kuwa na elimu ya kuandika?

Historia inaonyesha kuwa kuna mtu ndio alikuwa anamsomea hayo mashairi ya Quran

Je unamjua huyo mtu aliyekuwa anamsomea mashairi ya quran?
 
Illiteracy and knowledge are two different things, kutokujua kusoma na kuandika na Elimu ni vitu viwili tofauti kabisa. Mtu anaweza kujua kusoma na kuandika lakini akawa hana elimu ya jambo fulani. Mtukufu mtume (saw) alikuwa anayo elimu ya Uislamu aliyopewa na Allah, halikadhakika kuna watu wanajua kusoma na kuandika lakini hawajui elimu ya dini kama ulivyo wewe Astronomer.

Umesema kuwa Mtukufu mtume Muhammad (saw) alikuwa anasomewa mashairi, hata mimi nilisikia kuwa babu wa babu yako alikuwa akitoka huku Afrika na kwenda kumsomea mtume mashairi 😁😁😁😁. je, ni kweli babu wa babu yako alikuwa mshairi maarufu hapa Afrika ya mashariki??.

Halafu hujajibu swali, wewe umesoma wapi? na umesomea nini??. (Si unadai umesoma !!).

Halafu nyinyi ni Atheists or polytheists ??. Kwa sababu hoja zenu za kupinga uwepo wa Mungu ni za kitoto, eti mtu anadai hakuna Mungu kwa sababu ya shida na taabu za hapa duniani!!, mbona hamzungumzii juu ya raha na starehe zilizopo??, halafu mtu anasema eti, Mungu mwenye uwezo, mwenye huruma hayupo!!, sasa kama huyo hayupo basi Yupo Mungu asiye na uwezo na Huruma kwa maana hiyo Mungu yupo😁😁 isipokuwa kwa maoni yenu finyu hana uwezo wote na huruma (Mungu apishe mbali).
 
Maelezo marefu Lkn hujajibu swali nililokuuliza

"AFDHWALU MAA QALLA WA DALLA" Ubora wa maneno ni yale machache kwa wanaoambiwa

Muhamad hajui kusoma wala kuandika rejea suratul Al araaf aya 157 kuwa hajui kusoma

Sasa mtu hajui kusoma anawezaje kushika akili zako wewe ? Ukinijibu hili na mm nitakujibu nimesomea kitu gain

Nani aliyekuwa anampa mashairi Muhammad ? Historia ya muhamad inatuambia kuna mtu aliyekuwa anamsomea aya je ni nani huyo?

SHIMAAA ALEYKUM YA MOKAZE nijibu hayo maswali
 
Wewe vipi mbona unashindwa kuelewa??!!, huelewi maelezo yote hayo, vipi utaelewa mstari mmoja??.

Ninasema hivi kujua kusoma na kuandika ni tofauti na kuwa na elimu, unaweza jua kuandika na kusoma ukawa huna elimu.

Ipo elimu ya kuzaliwa nayo na ipo elimu ya kkujifunza na ipo ekimu ya kufundishwa.

Huwa tunakwenda shule kupata elimu ya kufundishwa ambapo mtu anaanza kufundishwa kusoma na kuandika kama msingi ili aweze kufundishwa na afundishike.

Mtukufu Mtume Muhammad (saw) alifundushwa na Allah elimu ya dini ya kiislamu ili atufundishe sisi, elimu aliyofundishwa na Mungu haikumuhitaji yeye ajue kusoma na kuandika.

Hivyo sio lazima ujue kusoma na kuandika ndipo uwe unayo elimu, elimu ni kitu kingine na kusoma na kuandika ni vitu vingine.

👆🏻UKISHINDWA KUELEWA HAPO BASI WEWE HUKO SHULENI ULIPOSOMA ULIWAPA TAABU SANA WAALIMU WAKO KATIKA KUKUFUNDISHA.
Astro nomaaa.😁😁
 
Huwezi kuyajibu hayo maswali kwakuwa huijui quran wala uislam

Umekuwa muislam kisa baba na mama walikuwa waislam

Naomba unijibu hili swali

Aliyekuwa anampa mashairi muhamad ni nani? au hujasoma AL KHULASWA TU NUURI YAKINI SIRAATU NABAWIYA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom