Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mtu wa kwanza kuumbwa Sijui alikuwa nani na jina lake sijui lilikuwa lipi,na wala sijui alitokea bara lipi. Ila binadam (bin Adam) yaani mtoto wa Adam wa kwanza aliitwa kaini na wa pili aliitwa Habili na mama yao aliitwa Hawa (Eve).
Huyo kaini na habili walikua wakiishi katika bara gani?
 
Unaweza kuthibitisha hayo ni kweli na si stories tu?
Hizo ni stor tu kamezeshwa huko anakuja kutuletea hapa et hamjui binadam wakwanza ila anawajua watoto wa huyo binadam wa kwanza yaani ni janja janja za vijiwen kwenye kahawa
 
Unaweza kuthibitisha hayo ni kweli na si stories tu?

Wewe unayo mapungufu ya imani juu ya "uwepo wa Mungu", sasa inakubidi kwanza ufundishwe kutambua uwepo wa Mungu ndipo upate darsa lingine linalohusu watu walioitwa Adam, kaini, Habili, Hawa nk. Kwani hata ifanywe juhudi gani kamwe huwezi kuelewa elimu hiyo na zile za aina hiyo hadi pale akili yako itakapokombolewa kutokana na "clutches of Atheism".
 
Huyo kaini na habili walikua wakiishi katika bara gani?

Inasemekana Huyo Adam aliishi katika eneo lililokuwa kandoni mwa mito miwili Euphrates na Tigris, katika Iraq ya kale (the ancient Iraq), na ukisoma maandiko (Biblia) kaini alimuua nduguye Habili na alipoona katenda kosa akaamua kuhamia NCHI nyingine iitwayo Nodi na alipofika huko AKAOA mke.
 
Inasemekana???

inamaana huelewi au ni uvumi usio kua na ukweli au ni habari zilizokua na chembe za uongo hapo ndipo contradiction inapoingia
 
Na vipi hao binadamu walikua na ngozi ya rangi gani (black/white)
 
Inasemekana???

inamaana huelewi au ni uvumi usio kua na ukweli au ni habari zilizokua na chembe za uongo hapo ndipo contradiction inapoingia

It is said= inasemwa/inasemekana through history, I am not the one who authored the history, get the point lad??😁😁
 
It is said= inasemwa/inasemekana through history, I am not the one who authored the history, get the point lad??[emoji16][emoji16]
Ishu ni kwamba huelewi kitu ila unakwepa kwepa

ukisema kua "inasemekana" maana yake hujui na hauna uhakika na hyo history

Umekosa majibu umeamua kuandika matus sikushangai maana mungu wako kaumba viumbe na tabia tofauti tofauti
 
Tusi gani nililoandika, hebu nionyeshe!!🤔🤔
 
Yani hakuna la kujifunza kwa hawa jamaa,muda wote katika majadiliano nao wao ni watu wa kupinga,kuuliza maswali(kwa nia ushindwe kujibu) na kukana.

Halafu kwa kuyafanya hayo ndio hutaka kukuamisha kuwa hakuna Mungu,yani hukutengezea mazingira ya kuamini kuwa hakuna Mungu na sio kueleza hasa ni vp hakuna Mungu? Ni sawa na mtu wa imani A aishambulie imani B,halafu kwa kufanya hivyo ndio afikiri inatosha kufanya imani A kuwa sahihi.

Sijawahi kuona hoja za huu msimamo wa kuwa hakuna Mungu,yani huu msimamo umekuwa kama shimo ambalo watu wakianguka hudondokea humo na si kwamba kuna sababu za msingi zilizofanya waingie kwenye hilo shimo.

Ndio maana unakuta mtu msimamo wake hakuna Mungu ila kakazana kubishania masuala ya contradictions kwenye vitabu vya dini,na anataka kwa mabishano hayo hayo ya contradictions kwenye vitabu vya dini ndio iwe hitimisho la kuwa hakuna Mungu!!!
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

Mungu hakumuumba shetani, alimuumba Lucifer...

Inawezekana wazazi walizaa mtoto aitwae #havintishi .. lakini akajiita CHARMILTON
Hope tabia za wawili hawa zinatofautiana....

Ahsante kwakunielewa
 
Yani hakuna la kujifunza kwa hawa jamaa,muda wote katika majadiliano nao wao ni watu wa kupinga,kuuliza maswali(kwa nia ushindwe kujibu) na kukana.

Halafu kwa kuyafanya hayo ndio hutaka kukuamisha kuwa hakuna Mungu,yani hukutengezea mazingira ya kuamini kuwa hakuna Mungu na sio kueleza hasa ni vp hakuna Mungu? Ni sawa na mtu wa imani A aishambulie imani B,halafu kwa kufanya hivyo ndio afikiri inatosha kufanya imani A kuwa sahihi.

Sijawahi kuona hoja za huu msimamo wa kuwa hakuna Mungu,yani huu msimamo umekuwa kama shimo ambalo watu wakianguka hudondokea humo na si kwamba kuna sababu za msingi zilizofanya waingie kwenye hilo shimo.

Ndio maana unakuta mtu msimamo wake hakuna Mungu ila kakazana kubishania masuala ya contradictions kwenye vitabu vya dini,na anataka kwa mabishano hayo hayo ya contradictions kwenye vitabu vya dini ndio iwe hitimisho la kuwa hakuna Mungu!!!

Tz rafiki yangu mungu hayupo hizo stori kama riwaya ya kusadikika nchi iliyopo angani

Embu angalia hizo nchi ambazo nyinyi mnasema kulikuwa na mitume matendo Yao kunzia Saudi Arabia na Israel yaan matendo yao
 
Angalia sasa yani unazungumzia matendo ya watu wa Saudia na Israel! Tatizo mnatafuta maelezo ya kuhalalisha msimamo wenu ila hamuelezi ni vp hakuna Mungu.

Yani hoja zenu ni mambo ambayo hujadiliwa hata na wenye kuamini Mungu,ila ajabu na nyie mnajichomeka humo humo.
 
Hoja gani hiyo isiyokuwa na mashiko!!🤔🤔.

Kwani ni lazima mitume wanapokuja wakubaliwe??, sasa kama matendo ya hao saudia na Israel ndiyo kigezo kwamba hakuna Mungu, utasemaje kuhusu nchi zile ambazo kuna matendo mema, Mungu yupo??!!.

Si hilo tu, pia unaweza kuhoji:- kama hao Saudia na Israel walifikiwa na mitume na hali zao ndiyo hizo, vipi kama wasingefikiwa kabisa na mitume hali yao ingekuwaje??!😁😁

Siku zote Mkanusha Mungu hawezi kuwa na hoja za kimantiki.
 
siku zote mkanusha Mungu,hawezi kuwa na hoja za kimantiki

umefunga vzr sana kwa maneno haya Chief
 
Hoja gani hiyo isiyokuwa na mashiko!!🤔🤔.

Kwani ni lazima mitume wanapokuja wakubaliwe??, sasa kama matendo ya hao saudia na Israel ndiyo kigezo kwamba hakuna Mungu, utasemaje kuhusu nchi zile ambazo kuna matendo mema, Mungu yupo??!!.

Si hilo tu, pia unaweza kuhoji:- kama hao Saudia na Israel walifikiwa na mitume na hali zao ndiyo hizo, vipi kama wasingefikiwa kabisa na mitume hali yao ingekuwaje??!😁😁

Siku zote Mkanusha Mungu hawezi kuwa na hoja za kimantiki.

Nimekutajia hizo nchi ili ujue mungu wako hayupo maana kwanini hao manabii walitokea huko peke yake?

Kwanini mungu hakutuma manabii wazungu au wachina hujiulizi?

Kibaya zaidi hizo nchi zina matendo mabaya
 
Angalia sasa yani unazungumzia matendo ya watu wa Saudia na Israel! Tatizo mnatafuta maelezo ya kuhalalisha msimamo wenu ila hamuelezi ni vp hakuna Mungu.

Yani hoja zenu ni mambo ambayo hujadiliwa hata na wenye kuamini Mungu,ila ajabu na nyie mnajichomeka humo humo.

"Tumewaumba watu mataifa na makabila tofauti lengo mpate kujuana INNA AKRAMA KUM INDAA LLAHU ATQAKUM"

Israel wabaguzi sana roho mbaya halafu wanajiona wao ndio wana haki ya kila kitu hapa duniani wanajiona bora kuliko wenzao wanauwa kila siku huyo yehova katulia haoni wanavyoua wenzao?

"AYATUL MUNAFIQ THALATHA IDHAA HADDATHA KADHABAA WAIDHAA WAADA AKHLAFA WAIDHAA ATUMINA KHANA"

Saudia arabia wanafiki wakubwa wanagombanisha Yemen halafu huyo Allah katulia haoni hayo anashindwa na UNICEF?

Halafu mnaswali mnaelekea saudia mkiamini kuna nyumba ya mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom