Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 996
Je unawajua choosen one na maajabu yao katika dunia
Choosen one ni nani? Ni mtu ambaye amechaguliwa na Mungu kwa ajili ya kutoa mwanga(light) au humanity(utu) duniani.
Choosen one ni mtu mwenye special gift(spirtual gift) kutoka kwa Mungu ambayo inamsaidia kwenye kukamilisha assegnment (purpose)anayotakiwa kufanya duniani.
Mungu umchagua mtu either katika familia au ukoo hili kuvunja tabia au maagano fulani(generational curse au trauma)katika familia au ukoo.
Mungu pia utumia choosen one katika kusaidia taifa au dunia kwa ujumla kusaidia kutoa elimu, maarifa, hekima, upendo, kusema ukweli mfano (yesu kristo) kwa watu na kubadilisha maisha ya watu kwa ujumla kupitia neno la Mungu.
Mfano kwenye bibilia Mungu alimchagua Ibrahimu ili kuenda kuanzisha taifa la israel au kaanani.Mungu alimchagua Musa kuwatoa waisrael utumwani Misri, Mungu alimchagua Daudi ili kuwapiga wafilisti mfano alimua Goliath, pia alimchagua yusuph kuwa waziri mkuu Misri wapo wengi n.k
Special gift za choosen one zinatofautiana kulingana na wito ambao Mungu amempangia mtu kulingana na changamoto alizopitia
-kuna wa kutoa maarifa yenye hekima
-kuna wakuponya wagonjwa
-kuna prophet(manabii)
-kuna watabili
N.k
Hizi gift mtu anapata kulingana na changamoto ulizopitia baada ya kujifunza unasaidia wengine kupitia njia ambazo Mungu kakufundisha.
Mambo walionayo choosen one na maisha wanayopitia
-kwanza Mungu akikuchagua choosen one sio kwamba maisha kwako yanakuwa rahisi hapana, Choosen one wote uwa wanapitia maisha yenye changamoto ngumu ambazo binadamu wa kawaida akipitia ni vigumu kunyanyuka lakini choosen one wana inuka na kubaki watu wenye upendo na kutolipa kisasi kwa walio wafanyia ubaya.
kiufupi hili uwe choosen one ni lazima upitie nyakati ngumu(dark side) ili kuja kuwa mwanga kwa wengine.mfano yesu kristo kapitia kusalitiwa, kutengwa kupigwa leo ndio kawa Mwanga duniani kwa kuamasisha upendo.
-choosen one wote wanapitia kipindi cha maandalizi(preparation) na isolation(kujitenga)
Ili Mungu aweze kuachia wito wako au kibali uwa anawapitisha wateuliwa kipindi cha mafunzo , hichi ni kipindi kigumu sana wanapitia choosen one, maisha yanakuwa yenye changamoto kali yote Mungu anatumia kukufundisha imani, nidhamu, upendo, kusamehe ni.k
Mfano Musa toka utoto alikuwa anapitia wakati mgumu kama kutaka kuuliwa akiwa kichanga ,kuishi utumwani, waisrael kuna wakati walikuwa wanamlaumu , kuisha jangwani miaka 40, Kufunga 40 hili kuandika torati na kusikia maagizo ya Mungu.
Daudi pia kuwa mchugaji, kuishi mafichoni kumukwepa sauli yote hii ni mipango ili kumuandaa kuwa mfalme.
-choosen one wanapitia pia kipindi cha rejection(kukataliwa) , betray(kusalitiwa)
Hii inatokana na kila walichobeba yani kibali hivyo watu wanakuwa na wivu pia Mungu anafanya rejection itokee ili kukupeleka kuweze kujua kusudi lako hapa duniani.
Mfano yusuph alipitia kipindi kigumu kukataliwa na familia yake(wivu) na kuuzwa utumwani, kapitia jela hii yote Mungu alikuwa ana mfundisha ili kuweza kupata baraka kubwa(waziri mkuu)
-choosen one ni watu wenye vibaji vingi hivyo wana uelewa mpana wa Mambo mengi duniani(mfano agenda zilizopo nyuma ya dini) na kupitia changamoto walizopitia zinawafanya kuwa ni watu wenye hekima, upendo, kusema ukweli na mafanikio,
-choosen one pia wanapitia nyakati ambazo wanapoteza kazi, mahusiano kuvunjika, familia kuto kuwaelewa, kupoteza fedha, kupoteza ndoto zao au mipango ya awali.