Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Wewe Astronomer, umekosa maswali ya kuuliza ???,😁😁😁
Bila shaka umeisha jua kuwa Mungu yupo, Alhamdulillah.
Sio kila anayeuliza swali hajui majibu pengine anataka kujua unao uelewa upi wa mambo
Je mwalimu akikuuliza swali darasani ana maana gani?