Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kuna aliyethibitisha Mungu yupo?

Au bado longolongo tu?
 
"Tumewaumba watu mataifa na makabila tofauti lengo mpate kujuana INNA AKRAMA KUM INDAA LLAHU ATQAKUM"

Israel wabaguzi sana roho mbaya halafu wanajiona wao ndio wana haki ya kila kitu hapa duniani wanajiona bora kuliko wenzao wanauwa kila siku huyo yehova katulia haoni wanavyoua wenzao?

"AYATUL MUNAFIQ THALATHA IDHAA HADDATHA KADHABAA WAIDHAA WAADA AKHLAFA WAIDHAA ATUMINA KHANA"

Saudia arabia wanafiki wakubwa wanagombanisha Yemen halafu huyo Allah katulia haoni hayo anashindwa na UNICEF?

Halafu mnaswali mnaelekea saudia mkiamini kuna nyumba ya mungu
Bado unazungumzia watu na mie nataka ueleze ni vp hakuna Mungu?
 
mungu kashawaziba watu macho wasimjue halafu anawapa hukumu ya jehanam
Hahaaaa.

Halafu mtu anakwambia hicho ni kitabu cha Mungu kimeandika ujinga huo.

Anakubishia kabisaa.

Anataka umkubali na yeye ni mtu mwenye akili timamu kichwani mwake.

Mara nyingine huwa tuna kazi kubwa sana kubishana na watu wa hivyo hapa.

Nawapeni hongera.
 
Hawawezi kukubali ukweli kwakuwa wengi wamerithi kutoka kwa wazazi wao sasa mtu kuachana inakuwa ngumu je ndugu zake watamuelewaje

Na pia ni uvivu wa kufikiri yaan kama mungu yupo kwanini amtumie mtu kumjua yeye?
 
Mungu hawezi kujitetea nwenyewe, mpaka wapambe watoke povu.

Hahaaaa.

Tz na Mokaze kwanini mungu hawezi kujitetea mwenyewe mpaka anawatumia nyinyi na kibaya zaidi tunawauliza maswali mnashindwa kutujibu

Si mumuulize huyo mungu wenu yeye si anajua kila kitu?
 
Kwenye ukoowenu wote niweusi?, hakuna mweupe mrefu na mfupi?.
Alafu umejuaje kama Adam na hawa walikuwa ni wazungu.
Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
 
Kwa asilimia kubwa mawazo kama haya huwapata binadamu wengi pale wanapopitia magumu kiasi cha kuona maisha kwao hayana thamani yoyote

Hii inapelekea hata kulaumu kwa nini hata amekua hai...mwisho wa siku akili lazima ifikirie mambo kama haya
 
Msingi wa hoja ya Kiranga ipo hivi;-

"Kama Mungu mwenye upole,huruma,muweza wa kila kitu yupo, mbona kuna shida na taabu na majanga yanawaandama watu kwanini asiyaondoe tuishi kwa raha??. Na akajenga hoja kwamba kwakuwa hizo shida zipo basi Mungu hayupo"

👆🏻Huo ndiyo msingi mkuu wa yeye kumkanusha Mungu kama kuna chochote alichoongeza basi hakijavunja huo msingi anao uamini.

JIBU LA HIYO HOJA YAKE👇🏻

Yeye kaangalia upande mmoja tu wa shilingi upande wa shida lakini hajaangali upande wa pili wa shillingi upande wa raha na sterehe, kulingana na hoja yake,kama Mungu hayupo kutokana na Shida na taabu za watu vipi Mungu asiwepo kutokana na raha na starehe za watu??.

👆🏻Hapo utaona hoja yake ikifa kifo cha kawaida kabisa na hataweza kuitetea.

Hoja yake unaweza kuiwekea mfano huu hapa;!.
Bado majibu na mifano yako ni mepesi kiasi hata hayajajibu hoja ya mtoa mada
Mpaka leo naamini hivi tajiri anaeponda kila aina ya raha na yeye nitachomwa nae moto if wote tumetenda dhambi duniani
Kama mungu yupo kwanini akawa mwenye upendeleo hivi huku duniani
Yaani mimi nizaliwe na masikini alafu mwingine azaliwe na tajiri
Tusome wote tufaulu sawa lakini mimi nitafute kazi bila mafanikio alafu wewe upate kirahisi
Nikiwaza hapa ndo naona kabisa kama kweli mungu yupo basi hakuna moto wa jehanamu na kama moto upo
Basi mungu si mwenye huruma, upendo na, mtenda haki.
 
Kwenye ukoowenu wote niweusi?, hakuna mweupe mrefu na mfupi?.
Alafu umejuaje kama Adam na hawa walikuwa ni wazungu.
Watakuambia ni uzao wa Cain ulio kuwa unamchungulia mzazi wake akawapa laana "kuanzia leo wewe na uzao wako mtakuwa weusi"
Hahahahaha ina maana ile laana bado inatutafuna sasa kwanini nijishughulishe kuamini katika mungu huku nikijua mwisho wa siku nitaingia motoni kwa ile laana ya mshua?
 
Mungu hana makosa wala hatakaa akose.
Kwa hiyo kuruhusu mimi niwe masikini na mwingine awe tajiri alafu wote tukitenda dhambi tuchomwe sawa bila kujali mimi nishachomwa na maisha duniani bado ni sawa hajakosea?
 
Inasemekana Huyo Adam aliishi katika eneo lililokuwa kandoni mwa mito miwili Euphrates na Tigris, katika Iraq ya kale (the ancient Iraq), na ukisoma maandiko (Biblia) kaini alimuua nduguye Habili na alipoona katenda kosa akaamua kuhamia NCHI nyingine iitwayo Nodi na alipofika huko AKAOA mke.
Huyo mke alitokea wapi wakati ndo kwanza Adam na eve ndo walikua wame mzaa yeye cain na nduguye au kulikuwa na watu wengine tayari lakini mungu mtu wake wa kwanza ni Adamu?

Leo mnifanye niamini uwepo wa mungu msitake kuingia peponi pekee yenu....
 
Tz na Mokaze kwanini mungu hawezi kujitetea mwenyewe mpaka anawatumia nyinyi na kibaya zaidi tunawauliza maswali mnashindwa kutujibu

Si mumuulize huyo mungu wenu yeye si anajua kila kitu?
Maswali mengine hivi huwa mnayafikiria?

Kama mnataka kumuuliza maswali Mungu na awajibu mwenyewe mbona mnakuja kuwauliza watu humu halafu mnategemea mjibiwe na Mungu?
 
Msitulishe sumu aisee,hakuna kosa alilofanya mungu,kila kitu amekileta makusudi na kwa mpango maalumu,
 
Hawawezi kukubali ukweli kwakuwa wengi wamerithi kutoka kwa wazazi wao sasa mtu kuachana inakuwa ngumu je ndugu zake watamuelewaje

Na pia ni uvivu wa kufikiri yaan kama mungu yupo kwanini amtumie mtu kumjua yeye?
Sio nyie mnaosema hoja nyingi za kutokuwepo Mungu zimeandikwa kwa kiingereza?

Sasa wewe mwenyewe unaamini tuna nguvu ndani yetu ila ajabu ili uweze kuzitumia mpaka mtu afundishe jinsi gani ya kuweza kuzitumia hizo nguvu.
 
Maswali mengine hivi huwa mnayafikiria?

Kama mnataka kumuuliza maswali Mungu na awajibu mwenyewe mbona mnakuja kuwauliza watu humu halafu mnategemea mjibiwe na Mungu?

Hoja zenu zinaonyesha wazi mungu hayupo

Aliyetoa nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?

Hatuwezi kumuuliza mungu kwakuwa hayupo nyinyi ndio mmemtunga
 
Sio nyie mnaosema hoja nyingi za kutokuwepo Mungu zimeandikwa kwa kiingereza?

Sasa wewe mwenyewe unaamini tuna nguvu ndani yetu ila ajabu ili uweze kuzitumia mpaka mtu afundishe jinsi gani ya kuweza kuzitumia hizo nguvu.

Leo niambie aliyekupandikizia nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?

Usiniulize na mm nadharia ya kuwa hakuna mungu nimeipata wapi

Jibu mungu hayupo angekuwepo angejidhihirisha duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom