Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

And why have you brought some of these ARGUMENTS by REFERRING written words from the HOLY BOOK(s)?

This simply implies that YOU ARE COMPLETELY NOT CERTAINLY with what you proclaiming in here.

Hujaelewa mantiki yake, kwa maana nyingine kama haya madai ya mtoa mada hayatopata ufumbuzi basi hata hizo holy books itakuwa za watu tuu wametunga kwa manufaa yao.

Kwa maana nyingine maswali yake yakishindwa kujibika, basi inaibuka kesi ya pili kwamba maandiko yanapotosha uhalisia na yanakuwa void.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did...sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Mungu akikosea kwa muktadha upi?
Mkosoaji ni nani? Ni huu uzao wake au ule wa nyoka?
Anayethibitisha kuwa haya ni makosa ni nani? Ni huyu mwanadamu asiye timia?
Chanzo cha yote haya ninini? ni hii elimu tuliyoambiwa tukaitafute? Maarifa ya kutaka kujifanya tunajua kuliko yeye?
1470251393047.jpg

Iko hivi÷kinyago ulichokichonga mwenyewe kamwe hakiwezi kukutisha
1470251402318.jpg
 
Hii co kutafuta kiki tena bal ni umajinun, kuna aina mbili za watu ktk kujfunza,
1. Anaejfunza akajua na akawa na manufaa kwa mazngra na jamii
2. Anaejfunza akajua ksha akatumia vbaya kle alchojfunza,
Bila shaka we ni wale watoto ambayo walpojua kusoma na kuandka walitumia ujuz wao kuandka matusi kwenye kuta za nyumba za watu, kingo za madaraja na mapangon, hv sasa umedevelop matumiz mabovu ya uandish na umeenda mbal sana, tafadhal rud huku maana huko c kuzur
 
Uvumilivu wa Mungu umevuka mipaka aisee yaani wewe mbwiga unamdhihaki YEHOVA kwa kiwango hiki? Kisa tu amekupa akili haujinyei? Amekupa afya hujui wodi ya wagonjwa wa kansa ikoje? Du hii sasa nizaidi yakufuru kwakweli!!!!
Kwahyo Mungu ana upendeleo?

Kwanini wengine waumwe hayo magonjwa na wengine wasiumwe.

Kwanini watu wanaokandamiza haki za watu wasipewe hayo magonjwa wapewe watu hawana hatia. Vigezo gani vimetumika.

Na kwahyo watu waogope kuuliza maswali ya msingi kisa kuogopa kuumwa. Kwahyo nyie mnaabudu Mungu ili msiumwe. Mkiumwa jee?

Mtaachaa au....
 
Nimesoma hapo tu "makosa 10 aliyofanya Mungu, nilichunguza kwa makini hlo neno mungi alivoliandika limeanza na herufi kubwa yaani (Mungu)nikagundua anamzungumzia Mungu alieziumba mbingi na nchi.

Kwa taarifa tu ndg umetenda dhambi kubwa mno, bila shaka yyte ww unauhusiano mkubwa sana na freemason ambao ajenda yao kubwa ni kugeuza alichofanya Mungu alie hai kuwa kinyume, ndo maana leo wanawake na wanaume ni sawa, wanaume wanaoana wao kwa wao nk.
 
Hope you 've got to know the function of eyebrows something you didn't, now accept defeat passively and take precaution never to enter mental battlefield with an empty mind, meanwhile expand your biological faculty!!!
There is nothing worse than being an agent of Satan. Satan is using you to sin against God. The moment you leave the world, if you will not have repented, the very same Satan will torment you in hell. Watch out dude.
 
Nimesoma hapo tu "makosa 10 aliyofanya Mungu, nilichunguza kwa makini hlo neno mungi alivoliandika limeanza na herufi kubwa yaani (Mungu)nikagundua anamzungumzia Mungu alieziumba mbingi na nchi.

Kwa taarifa tu ndg umetenda dhambi kubwa mno, bila shaka yyte ww unauhusiano mkubwa sana na freemason ambao ajenda yao kubwa ni kugeuza alichofanya Mungu alie hai kuwa kinyume, ndo maana leo wanawake na wanaume ni sawa, wanaume wanaoana wao kwa wao nk.

Hakuna "Mungu", ni hadithi tu.

Kama unabisha thibitisha.
 
Hakuna "Mungu", ni hadithi tu.

Kama unabisha thibitisha.
Wewe upo pamoja na mm. Ni wana falsafa walitumia uwezo wao. Ndio maana huwezi kujua Mungu yupo mpaka ufundishwe. Na wafundishaji walikua na lengo lao. Big up brother napenda watu mfano wenu maana inatia moyo kuona tunafunguka
 
Magu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!

Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
nimecheka sana mkuu hapo kwenye red
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did...sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
 
Ameamua kutoa maswali haya akijua huwezi kujibu kwani utashindwa umjibu kwa kutumia vitabu ambavyo maswali hayo katoa humo lakini ukimjibu hata yakubali wala kuyaamini kwani haya mambo yanataka maelezo ya kina kwa mfano anazungumzia kuhusu shetani na mungu Sasa huyu hapa je kauliza atakavyo yeye lakini ukisoma vitabu vya dini vinaelekeza vizuri tu wala hakuna utata wowote ila kunakanuni inasema kama unajambo lako hatakama la kipumbavu liseme kwenye hadhara wapo watakaolichukua
 
Sasa ukitafsiri Bible kihivyo si utaona Bible nzima imeandikwa na kichaa?

Em jaribu kupitia na hii.

Zab 139: 18 Kama mimi lazima kuhesabu [mawazo ya Mungu kwa ajili yangu], wao ni zaidi kuliko mchanga: wakati mimi macho, bado niko pamoja nawe.

Zab 78:27 Yeye mvua [ndege waweze kula] pia juu yao kama vumbi, na ndege feathered kama wengi kama mchanga wa bahari

Job 29:18 Ndipo nikasema, Nitakufa ndani ya kioto changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga.

1Ki 4:20 Yuda na Israeli walikuwa wengi [chini ya utawala wa Sulemani], kama mchanga wa pwani kwa wingi, wakila na kunywa, na kufurahi.

1Ki 4:29 Mungu akampa Sulemani hekima na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ufuoni mwa bahari.

2Sa 17:11 Kwa hiyo shauri langu Israeli wote kuwa kwa ujumla wamekusanyika kwako, toka Dani mpaka Beer-sheba, kama mchanga wa bahari kwa wingi; nawe kwenda vitani katika mtu wako mwenyewe.

1Sa 13: 5 Nao Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Waisraeli, magari thelathini elfu, na wapanda farasi sita elfu, na watu kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi, nao wakaja juu, wakapiga kambi yao katika Mikmashi, upande wa mashariki wa Bethaveni.

Amu 7:12 Wamidiani na Waamaleki na wana wa mashariki walikuwa wametua bondeni, mfano wa nzige kwa wingi; na ngamia zao walikuwa hawana hesabu; mfano wa mchanga wa ufuoni, kwa wingi.

Jos 11: 4 Nao wakatoka nje, wao na jeshi zao zote pamoja nao, watu wengi mno, kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi, pamoja na farasi na magari mengi sana.

Deu 28:62 Nanyi mtasalia wachache kwa idadi, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa sababu kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako.
kweli aliye andika biblia alikua ni kichaa au tuseme alikua ni msanii anaye hangaika kutafuta mali.
 
Mungu akikosea kwa muktadha upi?
Mkosoaji ni nani? Ni huu uzao wake au ule wa nyoka?
Anayethibitisha kuwa haya ni makosa ni nani? Ni huyu mwanadamu asiye timia?
Chanzo cha yote haya ninini? ni hii elimu tuliyoambiwa tukaitafute? Maarifa ya kutaka kujifanya tunajua kuliko yeye?
View attachment 375563
Iko hivi÷kinyago ulichokichonga mwenyewe kamwe hakiwezi kukutisha View attachment 375564
Mimi nimeuliza maswali yanayonitatiza...so mwenye majibu aniambie.
 
Wenye ufahamu zaidi wa masuala aliyouliza mhusika wamjibu na kumpa elimu mhusika aliyeuliza hayo maswali kqa faida yake na faida ya watu wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kusaidiwa.
Shetani kaumbwa na mungu ndio maana mungu alipomuumba adam na kuagiza apewe heshima kwani alikua na elimu kubwa aliyopewa na mungu yeye alikataa kumpa heshima hiyo na kusema mimi nimeumbwa kwa moto yeye kaumbwa kwa udongo kwa kujikweza huko akawa kamkasilisha mungu na kumfukuza katika himaya yake hapo shetani alijua uwezo wa mungu hivyo akamuomba amuachie uwezo wa kuwapotosha watu nae mungu akamkubalia na kumwambia hao utakao washawishi na wewe mtaingia jehanam
 
kweli aliye andika biblia alikua ni kichaa au tuseme alikua ni msanii anaye hangaika kutafuta mali.
Whatever wherever i have only one thing about it.

I DO BELIEVE THE BIBLE mengine ni juu yako.
 
Back
Top Bottom