Mbona unaimba Ngonjera? Kwaiyo walio na kansa, wanaojinyea na walioko mahospitali ndio tuseme kuna mungu muweza au mungu dhaifu?Uvumilivu wa Mungu umevuka mipaka aisee yaani wewe mbwiga unamdhihaki YEHOVA kwa kiwango hiki? Kisa tu amekupa akili haujinyei? Amekupa afya hujui wodi ya wagonjwa wa kansa ikoje? Du hii sasa nizaidi yakufuru kwakweli!!!!
Siyo mimi ni Biblia. Mtu aliyekuwa anamshukuru Mungu kwa kumwona akamwuliza imekuwaje Mungu kumwona yeye aliye mbwa, tena mbwa mfu. Huwezi kujua haya kama una audacity ya kujiita tena. Majina huakisi tabia ya mtu.Ni vibaya kumuita mwenzio mbwa mfu.
Ajidhaniae amesimama aangalie asije akaanguka.
Sasa ukitafsiri Bible kihivyo si utaona Bible nzima imeandikwa na kichaa?Hata kama sijui, kuwa makini usije kumwongezea maneno ambayo hakuyatamka.
Baada ya uumbaji alijipa vacation, bado hajaimaliza???Mbona unaimba Ngonjera? Kwaiyo walio na kansa, wanaojinyea na walioko mahospitali ndio tuseme kuna mungu muweza au mungu dhaifu?
Wewe kijana unaabudu uoga!
Narudia tena kwamba hakuwezekani kuwe na Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo, muweza wa yote, muumbaji wa vyote.
Kama atakuwepo mungu wa hivo atakuwa sio mungu bali ni mshindwa wa mwisho.
Fikiri kijana acha kukalia akili zako
HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO.
Watu wanateseka hovyo, watu wanakufa, watu wanadhulumiana, watu wanaibiana, watu wanateseka na njaa hadi kufa alafu uje uniambie kuna mshenzi kajikalia eti ndio aliyeumba vyote na anaweza yote na ana upendo.
Huo utakuwa ni ulimbukeni wa Mungu
Ooh yes!I NEED ANSWERS TO MY QUESTIONS, NOT YOUR FALLACY PROPAGANDA!!!
Umejihukumu mwenyewe. Utavuna ulichopanda.Jibu maswali wacha kunihukumu.
Nataka anijibu hayo maswali.Aisee umewaza kibinadamu zaidi na umemnung'unikia Mungu km walivyofanya waisrael jangwani nao wakafia hukohuko. Wewe hapo mbona hukusema upendo wa Mungu kwako? Unapumua bure, unaafya ya bure, jua na mvua huilipii , akili ya ajabu na hata inavyofanya kazi mpk leo haijulikani vizuri kwa wanasayansi, ila ulipewa wewe bure ili ikusaidie ktk dunia tuliyoiangusha wenyewe kwenye dhambi. Nk nk nk nk nk Je unataka Mungu akupe nini tena akutafunie afu we umeze tu?
Niko sambamba na wewe mkuu1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he didi..sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
BE STILL AND KNOW THAT I AM GOD -Psalm 46:101.KUMUUMBA SHETANI: