Hii discussion haifiki popote wala haitaisha. Nachoona mimi watu humu wamejitoa ufahamu! What happened to independent thinking? Mtoa mada ametoa dukuduku lake, kinachopaswa ni ku-argue nae kwa "fact" ,, sorry nilimaanisha "point". Dini msingi wake ni imani, na imani si lazima iwe na base founded on facts,, all you need to is believe,, even when beliving might mean hoping against hope. Hata mababu zetu walikuwa na Dini, swali la msingi ni je Hawa wazungu walitufanya nini? Kuna utofauti kati ya kujua na kufahamu, kama vile kulivyo na tofauti kati ya kufahamu na kuamini... None are more enslaved than they who hopelessly believe they are free.
Naamini katika nguvu ya independent thinking,, maana ndio chachu ya maendeleo.