Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kuuliza si kumdhihaki mungu huyu kauliza jamani inatakiwa apewe jibu sasa km tunakuawa wakali wakati hata huyo yesu mafarisayo yalikua yanauliza. maswali kinafiki na aliyajibu.Wenye uelewa wa biblia wamjibu ili imani yake iimarike siyo kuponda tuu????
Dah una akili balaa...ilikuwaje hukupewa wizara ya kuongoza??? you are too logical!!!
 
Hapo nina maana ya kutofungamana na upande wowote....pengine R.I.P ina maana ya REMEMBERED IN PUBLIC, WHO KNOWS???
"Pengine"[emoji1] [emoji1] ...Hii ni namna ya kujitetea na kutokubali kutereza.
Nakuahidi ukinipa udhibitisho usio na shaka ya matumizi ya neno hilo katika sentensi yako bila kuihusisha na masuala ya kiroho,ntajitoa Jf.Kubali tu,wakati mwengine tunafanya mambo kwakujichanganya..Ni jamiu Intelligence,pata funzo juu ya hilo..
 
Kitu ni kilekile mkuu...udhaifu huleta makosa.
Hapo nimetania tu. Kikubwa ni kwamba hakuna Mungu na hakujawahi kuwa na Mungu na hakutakuja kuwe na Mungu.

Ishi tu vizuri na watu wenzako huku ukijua huyo anaeitwa Mungu aliumbwa na wanadamu kwenye mind zao.

HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO
 
Chamiliton hawa wamesaahau kuuliza au kuhoji si ujinga ila ni kutaka kujua ukweli.
 
Hapo nimetania tu. Kikubwa ni kwamba hakuna Mungu na hakujawahi kuwa na Mungu na hakutakuja kuwe na Mungu.

Ishi tu vizuri na watu wenzako huku ukijua huyo anaeitwa Mungu aliumbwa na wanadamu kwenye mind zao.

HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO





Uvumilivu wa Mungu umevuka mipaka aisee yaani wewe mbwiga unamdhihaki YEHOVA kwa kiwango hiki? Kisa tu amekupa akili haujinyei? Amekupa afya hujui wodi ya wagonjwa wa kansa ikoje? Du hii sasa nizaidi yakufuru kwakweli!!!!
 
Mkuu CHAMITON inaelekea una akili nyingi sana.
Unajua sote tu wajinga na labda ungeliongeza hilo kama kosa lingine kutuumba wajinga lakini mwanzo wa kutoka katika ujinga (kujifunza na kuelewa) ni kuuliza hasa vitu vinavyokutatiza kama hivi. Na kiumbe asiyehoji chochote alafu akaendelea kuamini eti 'Mungu yupo' ndiye mjinga wa mwisho.
Siwezi kuchangia kwa undani hoja zako lakini nikitulia nitatolea maoni. Ukweli ni kwamba hizi ni hoja nzuri na huenda wengi hawatakuelewa lakini kwa atakayezitafakari na kupata japo 20% ya logic anaweza kuwa muumini mzuri sana mbali na hapo ni sawa na wale ambao kwao imani ni 'umeua binadamu wangapi leo'!
 
Hamna sense hapo lete mada nyingine hiyo noooooooooo! Tatizo hijui biblia umegusa gusa vitu kidogo bila kutafuta majibu You know nothing.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom