Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Acha utoto wa dini -katekisimu, madrasa ambapo huruhusiwwi kuhoji. kuhoji uhalisia wa mambo kuna kosa gani? Inquisitive mind is an essence of scientific discoveries of what you enjoy today!
Kuhoji juu ya utendaji wa Mungu? endelea kumimina maji kwenye gunia yumkini litajaa.!
 
And why have you brought some of these ARGUMENTS by REFERRING written words from the HOLY BOOK(s)?

This simply implies that YOU ARE COMPLETELY NOT CERTAINLY with what you proclaiming in here.
 
Hapo namba moja ndo napata wasi wasi sana.. Mungu wetu ni mkuu na aliumba kila kitu yaan tunaamin/tunaaminishwa kuwa shetani pia aliumbwa na Mungu.
Ila pia tunaambiwa yeye ndo anajua kila kitu maana yake kilichopo,kilichopita na kitakachotokea mbele huko... Sasa ilikuaje akaanza kumuumba shetani huku akijua huyo shetani atakua kikwazo katika utawala wake? Kwa kua yeye ni mkuu mbona ilikua simple tu pale shetani alipozingua angemkamata sweka rumande huko au tia moto aondoe hiyo roho ya laana..

Mimi sio mpinga Mungu wala mpagani.. Ila nahoji tu ili kujua zaidi kuhus Mungu wetu tunaemuabudu....
 
And why have you brought some of these ARGUMENTS by REFERRING written words from the HOLY BOOK(s)?

This simply implies that YOU ARE COMPLETELY NOT CERTAINLY with what you proclaiming in here.
How sure are you???
 
Kuuliza si kumdhihaki mungu huyu kauliza jamani inatakiwa apewe jibu sasa km tunakuawa wakali wakati hata huyo yesu mafarisayo yalikua yanauliza. maswali kinafiki na aliyajibu.Wenye uelewa wa biblia wamjibu ili imani yake iimarike siyo kuponda tuu????
 
Back
Top Bottom