ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,252
- 14,793
- Thread starter
- #241
Mkuu kuuliza siyo mbaya...tunahitaji kujua vitu tunavyo vyikumbatia ili tujue namna ya kuishi navyo.Sasa wao wakiulizwa maswali wanatokwa na povu badala ya kutoa majibu.kweli aliye andika biblia alikua ni kichaa au tuseme alikua ni msanii anaye hangaika kutafuta mali.