Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wenye ufahamu zaidi wa masuala aliyouliza mhusika wamjibu na kumpa elimu mhusika aliyeuliza hayo maswali kqa faida yake na faida ya watu wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kusaidiwa.
 
Uvumilivu wa Mungu umevuka mipaka aisee yaani wewe mbwiga unamdhihaki YEHOVA kwa kiwango hiki? Kisa tu amekupa akili haujinyei? Amekupa afya hujui wodi ya wagonjwa wa kansa ikoje? Du hii sasa nizaidi yakufuru kwakweli!!!!
Kwani walipo huko wodini sii wa kwake??? iweje ujione mwema kisa haipo huko???....jibu swali kwanini wapo wodini???
 
Baba mwenye nguvu hutetea wanawe dhaifu, ila hapa ni kinyume chake mkuu.
Wanasema
Mungu anatupenda sana kwa moyo wote but km kweli anatupenda kwann kamleta shetan??

Wanasema pia mungu n powerful kuliko kitu chochote....ila pamoja na nguvu zake kashindwa mwondosha shetan na bado wanasema anaupendo

Vilivile wanasema ana huruma..hv kama ana huruma ,upendo na nguvu..katuletea shetan wanini??

Inatia wacwac kwakweli

Mm nasema kama mungu hapenzwi kwa jinsi navyo ishi yeye ndio aje kuniambia mm sio hawa waarabu na wazungu.na vitabu vyao vya kusadikika hata siwaelewi
 
Na kutupa majina yao ya kishenzi baada ya kudharau ya kwetu.
 
Una nani wewe mavumbi na majivu unayemkosoa Mungu? Una nini wewe kigae kati ya vigae vya dunia unayekosoa Muumba wako? U nani wewe mbwa mfu unayemkosoa Mungu? Huku ni kuvuka mpaka. Ninakushauri utubu uovu huu mara moja na tena waambie Mods waufute kama hujitafutii kifo cha ghafla na kwenda motoni moja kwa moja. Mwenye masikio na asikie.
Mbona povu linakutoka??? kufa??? we utaishi milele???
 
Je umewahi kujiuliza ni kwa nini mwanamume na mwanamke mweusi huzaa mtu mweupe (albino) lakini mwanamke mweupe na mwanamume yaani kwa mfano mzungu kwa mzungu hawazai albino mweusi? Lakini pia albino kwa albino bado wanazaa mtu mweusi?
Rudi olever genetics form mkuu..bios hata ya kuiba ilikupita...wazungu nao huzaa albino
Albino n alibino
Kuna albino wa kiafrica na albino wa kizungu
 
Je umewahi kujiuliza ni kwa nini mwanamume na mwanamke mweusi huzaa mtu mweupe (albino) lakini mwanamke mweupe na mwanamume yaani kwa mfano mzungu kwa mzungu hawazai albino mweusi? Lakini pia albino kwa albino bado wanazaa mtu mweusi?
Albinism ipo kwa species zote mkuu hadi mimea...ndo maana nikauliza kwanini kuna mutation iletayo ulemavu kama albinism???
 
USIMDHIHAKI MUNGU HATA KIDOGO, huwezi kufanya conclusion ya kuwa hakuna Mungu kwa kufanya reference ya kitabu kimoja cha DINI, wakati duniani Kuna DINI nyingi sana, UISLAM, BAHAYI, HINDI, nk na bado huwezi kusema Mungu hayupo wakati kunasayari nyingi sana ULIMWENGUNI,vipi kuhusu viumbe wanaoishi sayari nyingine wanamuabudu Nani ? Inamaana wewe unaakili nyingi sana kuliko watu wote wanaomuabudu MUNGU ALIYE HAI, TANZANIA, AFRICA, DUNIANI na SAYARI ZINGINE. Embu achana na hii habari ya MUNGU BABA, ongea kitu kingine.
 
Hamna sense hapo lete mada nyingine hiyo noooooooooo! Tatizo hijui biblia umegusa gusa vitu kidogo bila kutafuta majibu You know nothing.
Sasa hapo ndo ungeanza kumsaidia ... Hebu jibu hayo maswali kwa manufaa ya wengi... Nakuaminia mkuu, fanya mambo hapo
 
Back
Top Bottom