shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Za mchana mama mchungajiMorning mkuu Shululu ubarikiwe
Za mchana mama mchungajiMorning mkuu Shululu ubarikiwe
Asante mama mchungajiPole kwa usumbufu,tunashukuru tumeyapata,kawia ufike na yamefika,hongera![]()
![]()
Wajerumani ni noma
Hawa ndio wanaume halisi wa Kijerumani wana roho za paka kupambana hadi Mwisho walizidiwa hujiua ili kuepuka kidhalilishwa![]()
Hitler km kiongozi wao alifanya hivyo japo kuna utata
Goebells km Waziri wa propaganda alifanya hivyo pia
.......
Shemela za mchanaMornie shemela
Ni majanga sana aiseetigo mpaka sasa haijakubali inabidi tutumie mtandao mwingine
Pamoja sana shemela wa mimihahah huyu bashite anachekesha sana shemela asante kwa magazeti
You are right dearacha tufurahi tu maisha yenyewe mafupi haya ukizingatia watu hatujuani zaidi ya kusomana ya nini unune nune

Pole mama mchungaji, wasamehe tuBado unatumia tigo?wamewahi niudhi sana nikawaacha
Ikiwemo halotelninatumia tigo mama lakini mitandao mingine natumia pia
Pole hny,umeshandaje lknNetwork ilikuwa shida sana ndio maana magazeti yamechelewa
Sana tuHii hata huku kwa wafanyabiashara ipo sana![]()
Binamu anasema yuko na sweetiepieBinamuuuu flowers zimeanza![]()
Asante cku njema kwako piaKaribu dada barikiwa sana uwe na siku njema![]()
Asante Nyagei kwa UFTukutane baadae kwenye matokeo ya world Cup U20
Salama pole na ujenzi wa taifaMke mwee za kuamka
Niliwasamehe kabisa ndio maana nikawaacha wawe huru toka moyoni mwangu si unajua kulaumu ni dhambi,nikaona nisiwabebe moyoniPole mama mchungaji, wasamehe tu
mm nakunywaga fanta au mirinda orange
, huwa wanasema hizo zinafaa kunywa ukiwa umelazwa hospitalPamojaSafi dingi
Kapige mzigo

AiseeJE WAJUA?
Vagitus ni sauti ya kulia ya mtoto aliyezaliwa.
Kwa sasa hatesekiBinamu yangu jaman mnamtesa sana