Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
sipatii pichaLingekuwepo hapa ingekuwaje?

sipatii pichaLingekuwepo hapa ingekuwaje?

KaribuAmeen mama![]()
Mawasiliano sasa maana sijawahi fika huko..Aah hilo sio tatizo hata home kwangu Karibu, watz sote ni ndugu
HahahahaBinamuuuu flowers zimeanza![]()
Asante shem wange kwa uf ubarikiwe sanaTukutane baadae kwenye matokeo ya world Cup U20
Kwa kiswahili "vagitus" linaitwaje?JE WAJUA?
Vagitus ni sauti ya kulia ya mtoto aliyezaliwa.
Binamu yangu jaman mnamtesa sanaHahahaha
Wacha bana yaan, hata mara moja hukawah fikaMawasiliano sasa maana sijawahi fika huko..
Baba shule nilikimbia mm na English mbali kabisa..Kwa kiswahili "vagitus" linaitwaje?
Sisemagi uongo mie..Wacha bana yaan, hata mara moja hukawah fika
Bro..! Kilikua Kipind cha umande auBaba shule nilikimbia mm na English mbali kabisa..
Sio English hiyo.
hauna mke?Aah hilo sio tatizo hata home kwangu Karibu, watz sote ni ndugu
Na uongo ni dhambi,Sisemagi uongo mie..
hauna mke?
Sina mke miss shunie
Mh hujawahi fika darSisemagi uongo mie..
Si ile ya jana... Ha ha ha hasipatii picha![]()
Oooh ndio mana nimeuliza ulivyomjibu mondray afikie kwakoSina mke miss shunie
Kweli dada..Mh hujawahi fika dar