Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio kijana wangu ila sasa nimerejeaSafi ..
Naona ulikua kimya..
Ndio kijana wangu ila sasa nimerejeaSafi ..
Naona ulikua kimya..
tigo mpaka sasa haijakubali inabidi tutumie mtandao mwingineNetwork ilikuwa shida sana ndio maana magazeti yamechelewa
Ahsante kwa matokeoSenegal anaongoza kundi lake jana kampiga S. Arabia 2-0
Aisee, pole ila kikubwa uzima hizo pesa zipo tu kamanda!!!Huku safi..
Mishe zinasonga kama kawa Mvua tu ndio tatizo..
Wauza maji tunakosa madili..
Morning papaaGoodmorning family
hahah huyu bashite anachekesha sana shemela asante kwa magazeti
Karibu..Ndio kijana wangu ila sasa nimerejea
Majukumu tu shem waneShem wange ni nini shida mbona umepotea
Asante mussolin kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Tuko pamoja mkuushululu
Mussolin
Bitoz
Mama yetu, kamooo
Nyagei
much respect
good mornie family
Kaka kwetu hukuu Porini kabisa..Aisee, pole ila kikubwa uzima hizo pesa zipo tu kamanda!!!
Ila sasa kama dsm ni mvua na jua
Japo hainihusu ilashululu
Mussolin
Bitoz
Mama yetu, kamooo
Nyagei
much respect
good mornie family
Mbona nilisalimia kijana wanguKaribu..
Naona hata salamu shida kutoa
Ila nishakuzoea...
Baba mchuchuAmen.....Ahsante Mama.....ubarikiwe
Poa.Mbona nilisalimia kijana wangu
BTW vipi hali yako muuza maji
Huyo ni Nyoka_mzeePoa.
Muuza kashata.