Makonda kawachongea waandishi wapi?
Rafiki yake Bitoz katika front page
Kerosene na ashki
Tuweni makini na ulaji wa mayai ya barabarani na chips yai (zege)
Morning broMorning all kapuku
Pole sana mkuuNetwork ilikuwa shida sana ndio maana magazeti yamechelewa
Morning, asante kwa magazeti.Morning all kapuku
Pamoja sana mkuuMorning, asante kwa magazeti.
Amen asante,Mungu yu mwema katuamsha salama tunamshukuruMmeamkaje humu ndani
Mungu awaongoze katika mihangaiko yenu ya kujitafutia mkate wa kila siku
Karibu dada barikiwa sana uwe na siku njemaAmina mama Mchungaji ubarikiwe
