shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kisha arudikwa nini sasa si upo znz njo ushangae maghorofa siku moja
Kisha arudikwa nini sasa si upo znz njo ushangae maghorofa siku moja
Ila soda si nzuri kwa ujumla wanaweka kk sukari kijiko kimoja cha teaspoon kwenye lita 20 inanoga asali,so mjitahidi kupunguza sukari na artificial drinks kwa ujumla![]()
![]()
![]()
, huwa wanasema hizo zinafaa kunywa ukiwa umelazwa hospital
Aaahaa ni kweli?JE WAJUA?
Ukipaka Perfume ya Calvin Klein Obsession usiende porini maana harufu yake inavutia Jaguars, Tigers na Cheater
Duh aiseeJE WAJUA?
Raisi Lyndon B Johnson alimiliki gari lenye uwezo wa kutembea nchi kavu na majini, alipenda kuwatisha wageni wake kwa kuwapandisha kwenye gari lake harafu analitumbukiza kwenye maji akisema breki hazifanyi kazi halafu anaanza kuliendesha ndani ya maji.
Hapo sasaacha tufurahi tu maisha yenyewe mafupi haya ukizingatia watu hatujuani zaidi ya kusomana ya nini unune nune
walikuwa na historia nzuri sana ya mapenzi hawa watu
R.I.P Bonny & Clyde
PoaOk naanza..
Asante my swi, niko poa mpendwa wanguPole hny,umeshandaje lkn
Sawa mama mchungajiIla soda si nzuri kwa ujumla wanaweka kk sukari kijiko kimoja cha teaspoon kwenye lita 20 inanoga asali,so mjitahidi kupunguza sukari na artificial drinks kwa ujumla
Duh aisee
AsapHahah wapi huko
Ni kweli, hata kukaa na kitu moyoni ni dhambi piaNiliwasamehe kabisa ndio maana nikawaacha wawe huru toka moyoni mwangu si unajua kulaumu ni dhambi,nikaona nisiwabebe moyoni
Pendelea Fanta passionmm nakunywaga fanta au mirinda orange
Nyumbani kwema,uwepo wako tu umekosekanaAsante my swi, niko poa mpendwa wangu
Za hapo nyumbani
Lingefungwa au kuibwasipatii picha![]()
Soda au vinywaji vinavyotengenezwa viwandani si salama sana kwenye mwili wa binadamuIla soda si nzuri kwa ujumla wanaweka kk sukari kijiko kimoja cha teaspoon kwenye lita 20 inanoga asali,so mjitahidi kupunguza sukari na artificial drinks kwa ujumla
Muda si mrefu narudi,niandalie ugari na samaki, bila kusahau mtindiNyumbani kwema,uwepo wako tu umekosekana
anaogopa hilo jina lako... Maana hueleweki.... Huku Dingi huku mtoto ha ha ha ha ha ha.Aah hilo sio tatizo hata home kwangu Karibu, watz sote ni ndugu
JE WAJUA?
Vagitus ni sauti ya kulia ya mtoto aliyezaliwa.
Mimi nitakuandalia anqasus.mm nakunywaga fanta au mirinda orange