Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,385
- 110,095
AiseeKaka kwetu hukuu Porini kabisa..
Kuona mataa mpaka upande juu ya mlima..
Kwetu kolomije mkoani.
ahhaha we banaJapo hainihusu ila
POA SANA BRO HOPE UKO FRESH..
Nakuona bibieahhaha we bana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Baba mchuchu
nipo poa sijui wwNakuona bibie
Uko poa mdogo wangu/ Dada angu..
Mamaaa Shikamooo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lee akuje aone huyo ndio baba mchuchu [emoji85][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ka Mond kapo fresh tu..nipo poa sijui ww
Marahaba Archduke za uzima unaendeleaje nakutaki siku njema ubrikiwe sana[emoji120]shululu
Mussolin
Bitoz
Mama yetu, kamooo
Nyagei
much respect
good mornie family
Bado unatumia tigo?wamewahi niudhi sana nikawaachatigo mpaka sasa haijakubali inabidi tutumie mtandao mwingine
Akikusikia shauri yako yupo mgahawani kwake anauza kahawaNyoka_mzee si kashakufa huyu
Nasikia alipigwa mawe akitaka kumng'ata mtu
Asante mondrayKa Mond kapo fresh tu..
Kalikumiss lakini..
Marahaba my dear umeamshwaje?za uzima ubarikiwe kipenzi[emoji7]Mama mchuchu shikamoo mama
ninatumia tigo mama lakini mitandao mingine natumia piaBado unatumia tigo?wamewahi niudhi sana nikawaacha
Good morning sir,God Bless you,goodday[emoji253] [emoji253]Goodmorning family
Ngoja nimsaje..Akikusikia shauri yako yupo mgahawani kwake anauza kahawa