BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Goodmorning amen and thank youGood moring..!!View attachment 513128

Goodmorning amen and thank youGood moring..!!View attachment 513128

Mmmh1945 - Mkuu wa Jeshi la kijerumani la Schutzstaffel( SS ) Heinrich Himmler anajiua.
Hiyo ni baada ya utawala wa Hitler kuanguka, na kamanda huyo kukamatwa.
Kuna mahali niliona mtu kazungusha uzio wa maua kumbe ndio ulinzi kwa mchuchu wakeBinamuuuu flowers zimeanza![]()
You are most ☆welcome☆Goodmorning amen and thank you![]()
Kunywa kwa kiasi tuAisee
Hongera sana sana kwa hatua hii,ilisaidia kuwajenga kupenda kusomaLeo Katika Historia:
1911 - Maktaba ya New York kwa matumizi ya umma yazinduliwa.
Lingekuwepo hapa ingekuwaje?ahahhha
Asante sana kwa ratiba za michezo na matokeo mkuu Nyagei ubarikiweRatiba za michezo ya leo kwa hisani ya Archduke na ipogolo
Ahsante sana mama mchungajiAsante sana kwa ratiba za michezo na matokeo mkuu Nyagei ubarikiwe
Ok naanza..Poa twende kazi sasa

Sina pa kufikia kaka..kamanda..!! Karibu kwa jiji la bashite, kimbia huko
Magimbi yakipata vitu vyake si mchezoNimeona vingi ila nimeipenda magimbi
AmenYou are most ☆welcome☆
Hahah wapi hukoKuna mahali niliona mtu kazungusha uzio wa maua kumbe ndio ulinzi kwa mchuchu wake
Kuna mahali niliona mtu kazungusha uzio wa maua kumbe ndio ulinzi kwa mchuchu wake

Aah hilo sio tatizo hata home kwangu Karibu, watz sote ni nduguSina pa kufikia kaka..
mm nakunywaga fanta au mirinda orangeKunywa kwa kiasi tu