Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Ni poa popo, upo??Niaje..
Ni poa popo, upo??Niaje..
Swali la msingi.Hivi ni nini kinaongelewa katika huu uzi hadi comments ni nyingi kiasi hiki?
Nipo popo lipo...Ni poa popo, upo??
Mishe poa, imekuaje leo mchana mchanaNipo popo lipo...
Za mishe..
Bado kidogo nitoke...Mishe poa, imekuaje leo mchana mchana
Kivipi, kwani humjui kusoma, ??Swali la msingi.
Nimechoropoka kidogo ..jf ni kama kidonda ndugu ukiupata ugonjwa wake kupona ni kazi sanaBado kidogo nitoke...
Mm popo mzoefu
Naww ikekuaje
Mm ni addicted wa hii kitu aisee ila now sina jinsi imebidi nikubaliane tu na hali halisiNimechoropoka kidogo ..jf ni kama kidonda ndugu ukiupata ugonjwa wake kupona ni kazi sana
Mm ni addicted wa hii kitu aisee ila now sina jinsi imebidi nikubaliane tu na hali halisi
Naingia Asubihi na usiku tu..
mama mchuchu una ukarimu uliyopitiliza huku kwetu tunaita ukarimu wa standard gaugeCR7 ASANTE KWA UDHAMINI WA MAGAZETI
Mvuvi habari yakoNipo popo lipo...
Za mishe..
Kusoma tunajua ndugu. Lakini page 19436 nazimaliza lini? Na hapa kuna mada zaidi ya elfu kumi.. sijui nichangie ipi niache ipi?Kivipi, kwani humjui kusoma, ??
Changia utakayo ona inafaa kuchangiaKusoma tunajua ndugu. Lakini page 19436 nazimaliza lini? Na hapa kuna mada zaidi ya elfu kumi.. sijui nichangie ipi niache ipi?
HahahahahaNimechoropoka kidogo ..jf ni kama kidonda ndugu ukiupata ugonjwa wake kupona ni kazi sana
Huyu ni mlinzi sio mvuviMvuvi habari yako
Habari yako mkuu..Hahahahaha
Nzuri mkulima..Mvuvi habari yako
Hahaaaaa Naww je?Huyu ni mlinzi sio mvuvi
Teh teh teh, sio lazima kuchangia, unaweza ukawa unagonga kitufe cha like unapotea, unaweza ukatafuta jiko ukapotea, be free kufanya chochote hata mada anzisha hutakosa wakukujibu..Kusoma tunajua ndugu. Lakini page 19436 nazimaliza lini? Na hapa kuna mada zaidi ya elfu kumi.. sijui nichangie ipi niache ipi?
Kumbe ni kaka afandeHuyu ni mlinzi sio mvuvi